Diamond Endelea Kuwaamsha Wasanii Waliolala
NYOTA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisema leo hafanyi tena muziki basi ataweza kuishi kwenye hadhi aliyonayo sasa kwa muda mrefu sana. Jeuri hiyo anaipata kutokana na kufanya uwekezaji mkubwa kwenye kiwanda cha muziki nchini. Anamiliki lebo yenye wasanii wakali kama Rich Mavoko, Harmozine na Ray Vann. Tunafahamu ukubwa wa wasanii hao waliopo […]
Read More..





