-->

Daily Archives: January 24, 2018

Mchekeshaji Mboto: Kitu ambacho hawezi kusa...

Post Image

Mchekeshaji Mboto Haji ameamua kumshukuru kwa mara ya kwanza hadharani muigizaji Aunty Ezekiel ambaye alimuonyesha upendo wakati anaugua na alipolazwa hospitalini na shukrani hizo ameziandika kupitia ukurasa wake wa instagram. Mboto ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa instagram “Wewe ndo jembe langu, mchiz waaaaaangu, kuna kipindi nilisumbuliwa na tatizo la moyo uliacha ratiba zako […]

Read More..

Pretty Kind: “Sijahongwa elfu 20 kisa...

Post Image

Baada ya kufungiwa Miezi 6 kutoa nyimbo mpya, kutumbuiza na kujihusisha na muziki kivyovyote, leo January 24 , 2018 Msanii Pretty Kind amesema sio kweli kwamba amefulia mpaka amekua akihongwa Elfu 20. Pretty Kind alieleza kuwa washaabiki walichukulia vibaya alichosema kuhusu “WANANUME HAWAJUI KUHONGA”. Lakini aliomba msamaha kuhusu jambo hilo na pia kuahidi kubadilika. Alisema […]

Read More..

Idris Sultan ashindwa kuvumilia mafanikio w...

Post Image

Idris Sultan ameonyesha kukerwa na baadhi ya Watanzania wanaopenda kupoteza muda mwingi katika mitandao ya kijamii kuliko kazi na kuuita ni “umbea” hii imekuja baada ya kuona mafanikio kutoka +254 Kenya baada ya movie ya “Watu Wote” kutajwa katika Tuzo za Oscar nchini Marekani na kutengeneza Satelite yao ya kwanza nchini humo., Kupitia ukurasa wa […]

Read More..