-->

Daily Archives: January 29, 2018

Bongo Muvi Ubinafsi, Ujuaji na Kutekelezana

Post Image

KATIKA mtandao maarufu wa WhatsAap niko katika makundi mawili yanayohusu sanaa. Moja limejaa wasanii maarufu wa Bongo Muvi na lingine limejaa wasanii maarufu wa Bongo Fleva. Katika kundi la Bongo Fleva wasanii wanajadiliana, wanasifiana na wanahamasishana kufanya kazi nzuri. Kwao sio aibu msanii kusema tuige mfano wa msanii fulani ama sio hatari kusema Vanesa Mdee […]

Read More..

VideoMPYA: Nyimbo ya kwanza ya MBOSSO baada...

Post Image

Baada ya kimya cha muda mrefu cha muimbaji wa Bongofleva Mbosso aliyekuwa member wa Yamoto Band, Mbosso leo ametambulishwa rasmi kuwa msanii wa sita kusainiwa na WCB baada ya Harmonize, Rayvanny, Rich Mavoko, Queen Darleen na Lava Lava , baada ya utambulisho tu Mbosso ameachia video yake mpya inaitwa ‘Watakubali’

Read More..

Sikutaka Hela ya Mtu – Wastara

Post Image

Msanii wa filamu wa bongo Wastara Juma ambaye hivi karibuni amepewa mchango wa milioni 15 na familia ya Rais Magufuli, amewajibu watu wanamtuhumu kuwa tapeli kwani hana ugonjwa unaomsumbua. Akizungumza na mwandishi wa EATV Wastara amesema kabla ya kuomba michango alijitahidi sana kujitafutia mwenyewe hiyo pesa kwani hakutaka pesa ya mtu mwengine ije imsaidie, kwani […]

Read More..