-->

Daily Archives: January 28, 2018

MSANII MPYA: CELINE JOHN msanii mpya wa n...

Post Image

Msanii mpya kutoka Tanzania anayeitwa CELINE JOHN anaye chipukia na nyimbo za Gospel. Na hadi hivi sasa ameshaachia nyimbo mbili ambazo ni “NAMPENDA YESU” na “LEO“. Msanii Celine ni kijana mdogo na ameweza kutimiza ndoto zake za kuwa mwanamziki wa nyimbo za injili. Anamshukuru Mungu kwa afya anayomjalia kila siku na pia anawashukuru wazazi wake […]

Read More..

AY: Nyimbo ya Ditto “Nabembea” ...

Post Image

Msaani maarufu Ambwene Yesaya anayejulikana kama “AY” ameamua kuweka hisia zake hadharani kuhusu wimbo wa msanii Ditto ‘Nabembea’ ambapo amesema kuwa ni wimbo bora na utaishi miaka mingi kwenye game ya Bongofleva.. AY ambaye amepost kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa kuandika hivi..>>>”Nimechelewa kuusikia wimbo wa Lameck Ditto ‘Nabembea’ kama na wiki kadhaa ila kiukweli ni wimbo Bora […]

Read More..

Nandy amfungukia Ruby

Post Image

Msanii wa muziki wa kike hapa bongo ambaye hivi sasa ndio gumzo kwenye game, Nandy, amesema kitendo cha Ruby kusema kuwa kwake kimya alikuwa anampisha, alikuwa ana tafuta kisingizio kwani bado alikuwepo kwenye game. Akizungumza kwenye 5SELEKT ya East Africa Television, Nandy amesema kwa Ruby kusema hivyo ni kisingizio, kwani wakati yeye anaanza kufanya vizuri, […]

Read More..

Diamond na Vanessa wamo kwenye shindano la ...

Post Image

Diamond Platnumz na Vanessa Mdee waingia tena kwenye shindano la MSANII BORA WA MWAKA 2017 ( “AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR”).   Diamond Platnumz pamoja na Vanessa Mdee wamechaguliwa kwa mara nyingine tena kuwania tuzo za nchini Nigeria “Too Exclusive Awards 2017″ na wote wametajwa katika kipengele kimoja cha msanii bora wa mwaka ( AFRICAN ARTISTE OF […]

Read More..

Audio : Kizungu Zungu kutoka kwa LavaLava

Post Image

Msanii wa muziki Bongo, LavaLava ameendelea kuwaburudisha mashabiki wake baada ya kuachia ngoma yake mpya ijulikanayo kwa jina la ‘Kizungu Zungu’, ngoma imefanyika Laizer ndani ya Wasafi Record. Kuisikiliza official Audio yake  bofya hapa chini

Read More..