Daily Archives: January 23, 2018

Maisha ni Kupambana- Alex Sanchez

Post Image

Kama ulikuwa hufahamu, haya ni machache kuhusu mchezaji  Alex Sanchez ambaye teyari ameshajiunga na Manchester United.       Alimuepusha mama yake na kifungo. Baba yake Sanchez aliachana na mama yake kabla ya yeye Sanchez kuzaliwa. Baada ya kuzaliwa na Ili kumlea mtoto wake mama yake aliaanza biashara ya kuuza samaki. Na akiwa na umri […]

Read More..

Mama Mjatta Atoa Angalizo Hili kwa Wasanii

Post Image

MWIGIZAJI mkongwe nchini, Tecla Mjatta amefichua kuwa moja ya mambo yanayoweza kumsaidia msanii na kufika mbali ni kuzingatia nidhamu tu. Amefichua kwamba, kama wasanii watahimiza na kukomalia nidhamu kwenye kazi basi watafika mbali na kuwa wasanii wakubwa ndani ya nje ya nchi. Mama Mjatta alisema hata yeye hiyo ndiyo silaha yake kubwa na ndio maana […]

Read More..

Wolper: Ufundi Unanilipa

Post Image

MSANII wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper, amesema mbali na sanaa yake hiyo, amekuwa akipata hela nzuri kupitia kazi yake ya mitindo ambapo sasa ameamua kuwa fundi seremala. Wolper amesema huu ni wakati wake wa kutengeneza fedha ili kutimiza ndoto zake za kuishi maisha aliyojipangia tangu akiwa mdogo. “Hakuna asiyependa maisha mazuri na tutambue tu […]

Read More..

DIAMOND Platnumz akutana na wasanii wa Rwan...

Post Image

kutokea Bongoflevani Diamond Platnumz mwishoni mwa weekend hii alikuwa nchini Rwanda ambapo alienda kwenye mambo yake binafsi ikiwa ni pamoja na kutangaza bidhaa zake za Diamond Karanga na Chibu Perfume kisha kupata nafasi ya kukutana na wasanii wa nchi hiyo.. Diamond amepost picha kwenye ukurasa wake wa instagram akiwa na wasanii wa Rwanda wakipata Dinner […]

Read More..

Mweee! Eti Senga Hajapata Mrithi

Post Image

MCHEKESHAJI mkongwe katika filamu Bongo, Ulimboka Mwalulesa ‘Senga’ amesema hajapata mtu wa kuendeleza makali yake ya uchekeshaji sambamba na pacha wake Pembe bin Kichwa, licha kujaa wasanii wa kumwaga nchini. “Filamu ni kama soka tu, zamani wachezaji wenye vipaji walikuwa wengi, ila hawakuwa na fedha, lakini siku hizi fedha nyingi lakini vipaji hakuna. Natamani sana […]

Read More..

Nabii Tito Akamatwa

Post Image

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma, linamshikilia Onesmo Machibya maarufu Nabii Tito mwenye miaka 44 ambaye ni mkazi wa kijiji cha Ng’ong’ona Manispaa ya Dodoma, kwa kosa la kueneza chuki ya kidini dhidi ya watu wengine. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto, amesema Nabii Tito amekamatwa baada ya kurekodi vipande […]

Read More..

Aunty Ezekiel :”Ila huku tunakoenda dah!

Post Image

Muigizaji kutoka Bongo Movie Aunty Ezekiel amechukua headlines  katika mitandao ya kijamii baada ya kupost caption ambayo imeacha maswali kwa baadhi ya mashabiki kupitia ukurasa wake wa instagram na wengi kutafsiri hueda akawa kwenye migogoro na baba mtoto wake Mose Iyobo. “Sina kawaida ya kuweka Maisha yangu kwenye Mitandao ila huku tunakoelekea 🙌 Dah!wanaume!!!!👍“ Aunt […]

Read More..