-->

Daily Archives: January 13, 2018

Mchekeshaji “Teacher Wanjiku” a...

Post Image

Mchekeshaji “Teacher Wanjiku” amewavunja mbavu watazamaji kwenye kipindi  cha luninga cha Churchill na kusema kuwa alimkatalia mumewe kurudi saloon baada ya kunyolewa nywele siku mbili tu na kutaka tena kurudi. Inaonyesha mumewe alipenda huduma nzuri iliyotolewa na dada wa Saloon hivyo akataka akanyolewe tena ingawaje alikuwa amenyolewe siku mbili zilizopita. Pia aliwaacha watu wakicheka akisema […]

Read More..

“Lau Nafasi” ni VideoMpya kutok...

Post Image

Video Mpya ya 2018 kutoka kwa mkali wa Kisingeli Man Fongo ambaye leo January 13, 2018 kaamua kuachia video yake mpya ijulikanayo kwa jina la “Lau Nafasi” .Bofya hapa chini kuitazama vidoe yake. Una comments zozote kama mshabiki wake? Uwanja ni wa kwako.

Read More..

Baada ya siku 61 za Lulu gerezani Idriss Su...

Post Image

Kupitia instagram page ya Idris Sultan ameandika ujumbe ambao umewakumbusha wengi tukio la Elizabeth Michael “Lulu” kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzake marehemu Steven Kanumba. Idris Sultan na Elizabeth Michael wamefanya kazi pamoja katika tamthilia ya SARAFU na moja kati ya kipande katika tamthilia […]

Read More..

Muna Afunguka Kuhusu Tatoo Yake na Ulokole

Post Image

MSANII wa filamu Bongo, Rose Alphonce ‘Muna’ amefunguka kuwa, watu wengi wanamsema vibaya kutokana na ‘tatuu’ zake alizozichora mwilini kuwa haziendani na ulokole, jambo ambalo linamshangaza sana. Akizungumza na Risasi Jumamosi Muna alisema, siku zote mtu anapoamua kurudi kwa muumba wake haangalii makosa ambayo ameyatenda nyuma, anachofanya ni kumpokea na kumsamehe kila kitu. “Sidhani kama […]

Read More..

Aika na Nahreel Waachia Sura ya Mtoto Wao

Post Image

Baada ya Familia ya Noel Mkono maarufu kama Aika na Nahreel kubahatika kupata mtoto mwishoni mwa mwaka jana hawakuwahi kupost picha yoyote ya mtoto wao inayoonesha sura yake mpaka siku ya leo January 12, 2018 ambapo kupitia ukurasa wa Instagram wa Nahreel na Navykenzo wameweka picha ya mtoto wao na kuonesha Sura yake. Mtoto wa […]

Read More..

Wema Sepetu Akana Penzi la Mahombi Asema ni...

Post Image

STAA mwenye nyota kali Bongo, Wema Sepetu amefungukia madai ya kubanjuka kimapenzi na mwanamuziki mwenye asili ya Congo, Mohombi Nzasi Moupondo na kusema kuwa ni shemeji yake na si vinginevyo. Akizungumza na Risasi Jumamosi Wema alisema kuwa, watu waache kutabiri vitu bila kujua ukweli wenyewe, kwani alipiga picha na mwanamuziki huyo kama shemeji yake kwa […]

Read More..