-->

Daily Archives: January 26, 2018

Rais Magufuli Amchangia Wastara Sh15milioni

Post Image

Rais John Magufuli na mkewe Janeth, leo wametoa msaada wa Sh15milioni kwa msanii wa filamu nchini, Wastara Juma anayetakiwa kwenda nchini India kwa matibabu. Msanii huyo anahitaji Sh37milioni zitakazogharamia matibabu yake ya mguu na mgongo na alitakiwa kwenda India tangu mwaka jana, lakini imeshindikana kutokana na kukosa fedha. Kiasi hicho cha fedha kilichotolewa na Rais […]

Read More..

Wema Sepetu ataja sifa za mwanaume anayemta...

Post Image

Msanii wa filamu, Wema Sepetu ameibuka na kudai kwamba yeye si mwanamke anayependa wanaume wenye uwezo mkubwa kama tuhuma dhidi yake zinavyoeleza. “Mimi napenda mwanaume anayejielewa,mwenye upendo na mchapakazi, ikitokea ana fedha itakuwa imetokea,lakini si mwanamke ninayependa pesa kuliko utu na mapenzi ya kweli,”alijinadi Wema Sepetu na kuongeza; “Unajua pesa sio kikwazo katika maisha yangu, […]

Read More..

RUBY:“Usijifanye jini kujua, wakati una s...

Post Image

Muimbaji wa Bongofleva Ruby bado watu wanasubiri kwa hamu ujio wake mpyaa baada ya kukaa kimya bila kutoa ngoma toka mwezi April 2017, kimya cha Ruby wengi hawakifurahi kutokana na wao kuamini kuwa Ruby ana uwezo mkubwa Mashabiki wengi kwa sasa wanasubiri ujio mwingine wa Ruby lakini leo muimbaji huyo ametoa ya moyoni mwake kupitia […]

Read More..

HERI MUZIKI NA DIVA: vipi tena?? “WAAMABIE”

Post Image

Ikiwa zimepita siku chache toka muimbaji wa Bongo Fleva Heri Muziki kuachia ngoma yake aliyowashirikisha Mwana FA na Mr Paul “Waambie” imeonekana kama mtangazaji Diva thee bawse ambaye ni mpenzi wake kuamua kutoa kipande cha Heri Muziki katika wimbo huo na kuweka sauti yake. Kutokana na hiki alichokifanya Diva thee Bawse lakini wimbo huo kimetafsirika […]

Read More..