Daily Archives: January 17, 2018

Moni Amfungukia Roma

Post Image

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Moni Centrozone amedai kwamba Roma Mkatoliki hana mchango wowote katika maisha yake ya muziki kama watu wanavyofikiria. Rapa huyo kutoka Dodoma, amesema kwamba hawezi kumzungumzia Roma kwa jinsi yoyote kwenye sanaa yake na hata kolabo watu wanayofikiria kuwa ilimpa msaada wa kumtambulisha wanakosea kwani haijam[patia lolote zaidi ya dhahama. […]

Read More..

Shilole Atoa ya Moyoni..

Post Image

MSANII wa muziki wa mduara, Zuwena Mohammed maarufu kwa jina la Shilole ametoa kauli ngumu wakati wa sherehe yake iliyofanyika usiku wa kuamkia jana Jumatatu, akisema watu wengi walikuwa wakidhani kwamba hamaanishi kuhusu kufunga ndoa na mpenzi wake Uchebe na kuwataka sasa waamini uamuzi wake huo. “Namshukuru Mungu nimepata mume anayeijua dini, amenifichia aibu yangu. […]

Read More..

Shilole Achoshwa na Wanaomdhalilisha Mitand...

Post Image

Msanii wa muziki nchini Tanzania, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka na kusema kuwa amechoshwa na mtu ambaye anajiita na kutumia jina la mume wake Uchebe na kumchafua kwenye mitandao ya kijamii kwa kuweka posti za kumdhalilisha mumewe. Shilole amesema hayo kupitia mtandao wake wa Instgram na kudai kuwa Uchebe feki huyo amekuwa akiharibu muonekane wa mume […]

Read More..

Wolper Afunguka Pesa itayogharimu Harusi ya...

Post Image

Mwanadada mwanamitindo na mwigizaji maarufu nchini, jackline Wolper Massawe ametangaza makubwa ujio wa ndoa yake inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni mara baada ya kuwa tayari ameshatolewa mahali. Wolper amedai kuwa ndoa hiyo inatarajia kugharimu kiasi cha shilingi milioni 60 za kitanzania, ikiwa milioni 50 kutumika kwa ajili ya harusi itayofanyika Dar huku milioni 10 kutumika harusi […]

Read More..

“Usimkataze msanii kuimba kibamia, jamii ...

Post Image

Kupitia ukurasa wa instagram wa msanii Nikki wa Pili ambaye ni moja kati ya wasanii wa Hiphop wanaounda Kundi la Weusi, amepost maoni yake kuhusu suala la maadili kwa wasanii, ambalo limeanza kufanyiwa kazi na Naibu Waziri wa wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kwa kufungia baadhi ya kazi zilizokosa maadili.. Niki wa pili alizungumza kwa mtazamo […]

Read More..