-->

Daily Archives: January 25, 2018

Wema Amlipua Mke wa ‘Nabii’ Tito

Post Image

DAR ES SALAAM: Katika hali isiyotarajiwa, imeelezwa kuwa msanii nyota wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu, amemlipua mke wa ‘Nabii Tito’ baada ya mwanamke huyo kumshawishi kupitia mitandaoni aolewe na nabii huyo. Chanzo chetu makini kilisema kuwa, msanii huyo amekasirishwa na kitendo cha mke huyo kumshawishi kuolewa na mumewe anayeitwa Onesmo Machija ‘Nabii Tito’ (44). “Wema Sepetu […]

Read More..

Tausi Mdegela Kuolewa Mke wa Pili

Post Image

Msanii wa filamu wa Tanzania mwenye muonekano wa kipekee na kipenzi cha watoto, Tausi Mdegela, ameutaarifu umma kuwa anatarajia kuolewa kuwa mke halali wa mpenzi wake wa siku nyingi ambaye ni msanii wa muziki wa taarabu, Prince Amigo. Akizungumza na mwandishi wa EATV, Tausi amesema suala la ndoa ni mipango lakini ni jambo ambalo lipo, kwani […]

Read More..

Vanessa mdee Auza Nakala 750 za CD ya Money...

Post Image

Msanii wa muziki Vanessa Mdee amesema ameuza nakala 750 za CD ya albamu yake ya Money Mondays, Mlimani City jijini Dar es Salaam. Akizungumza na MCL Digital, Vanessa amesema nakala hizo aliziuza Jumamosi Januari 20,2018 siku ambayo pia alikutana na mashabiki wake. Amesema, “Nilipofikia ni msanii wa kimataifa, hivyo lazima nifanye mambo kuendana na wenzangu […]

Read More..

WEMA SEPETU: “Kiukweli wameniudhi sana kw...

Post Image

msanii nyota wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu, amemlipua mke wa ‘Nabii Tito’ baada ya mwanamke huyo kumshawishi kupitia mitandaoni aolewe na nabii huyo. Chanzo chetu makini kilisema kuwa, msanii huyo amekasirishwa na kitendo cha mke huyo kumshawishi kuolewa na mumewe anayeitwa Onesmo Machija ‘Nabii Tito’ “Wema Sepetu nakupenda sana hata Nabii Tito anakupenda sana, […]

Read More..