Iyobo Ametusitiri kwa Aunt-Steve Nyerere
Staa wa filamu na vichekesho Bongo, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’, amewavunja mbavu watu baada ya kusema kuwa anamshukuru sana Moses Iyobo kwa kukubali kuzaa na Aunt Ezekiel, kwani kwa kufanya hivyo amewasitiri wasanii wote wa Bongo Muvi. Akizungumza wakati alipoalikwa kwenye bethidei ya mtoto wa mastaa hao iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Serena jijini […]
Read More..





