Sijamvisha Mtu Pete- Harmonize
Msanii kutoka katika label WCB Wasafi Harmonize ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake mpya wa ‘Bado’ amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake ya hajawahi kuvalishwa pete ya uchumba na wala yeye hajawahi kumvalisha mtu pete ya uchumba na kudai mpenzi wake mpya Jackline Wolper amemkuta akiwa hana mtu na ndiyo maana wakaweza kuanzisha […]
Read More..





