-->

Category Archives: BongoFleva

Shilole Akanusha Kutaka Kuvunja Ndoa ya Nuh...

Post Image

Msanii wa muziki na filamu Shilole amekanusha kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa ameoa mwanamke mwingine aitwae Nawal. Kupitia mitandao ya kijamii zilizagaa taarifa kwamba wawili hao wamerudia na wako karibu zaidi. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Shilole alidai kwa sasa yeye na Nuh ni washikaji na kuna baadhi […]

Read More..

Rais Magufuli Amteua Salma Kikwete Kuwa Mbu...

Post Image

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemteua Mke wa Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, Mama Salma kuwa mbunge wa kuteuliwa wa Bunge la Jamhuri wa Muungano Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu usiku huu, imesema Mama Salma ataapishwa kwa mujibu na utaratibu wa Sheria zitakazotangazwa na Bunge. Uteuzi wa Mama Salma unamfanya […]

Read More..

Muziki wa Taarabu Unapotea kwa Kukimbizana ...

Post Image

Muziki wa Taarabu ulianza kukwama pale Abdul Misambano na vijana wenzake walipoanza kuupa kisogo ule wa asili. Yalikuwa ni mabadiliko ya muda mrefu, yalianzia kwa kibao kama ‘Asu’ lakini miaka michache baadae yakazaa bendi kama Jahazi na nyingine nyingi ambazo kwa pamoja zilijinasibu kwamba zinafanya muziki uitwao ‘Morden Taarab’ au Taradansi. Tangu pale mambo yakawa […]

Read More..

VIDEO: Dayna Atetea Picha Zake za Utata Mit...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Dayna Nyange amesema hawezi kuishi maisha ya kumfurahisha kila binadamu bali anaishi kama vile jinsi anavyoona inafaa kwa upande wake ndiyo maana haoni kama kuna tatizo la yeye kuwa na picha za utata katika mitandao. Wakati akihojiwa na kipindi cha eNewz cha EATV leo kutokana na picha zake za utata zinazomuonesha sehemu […]

Read More..

Baraka Amtaja Mfalme wa Hip Hop Bongo

Post Image

Msanii Baraka The Prince amefunguka na kusema rapa Lord Eyes kutoka Weusi ambaye pia ni msanii aliye chini ya usimamizi wake ndiye mfalme wa hip hop Bongo. Baraka The Prince amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya EATV na kusema wasanii ambao wana ‘diss’ yeye kumsimamia Lord Eyes katika kazi zake ni wale ambao wanaogopa […]

Read More..

Ally Kiba, Diamond Kuibeba Serengeti Boys

Post Image

Dar es Salaam. Wanamuziki Ally Kiba na Diamond Platnumz ni miongoni wa wajumbe wa kamati ya watu 10 wa kusaidia maandalizi ya timu ya taifa ya vijana ya Tanzania ‘Serengeti Boys’ Akitangaza kamati hiyo inayoundwa na wanahabari, viongozi wa kampuni na wasanii Waziri wa Habari, Utamaduni Sana’a na Michezo Nape Nnauye amesema jukumu kubwa la […]

Read More..

Lulu Diva Amfungukia Barnaba

Post Image

ZIKIWA zimepita wiki kadhaa tangu msanii wa Bongo Fleva, Barnabas Elius kudaiwa kutengana na mzazi mwenziye, msanii wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amemfungukia kuwa, ishu hiyo alipoisikia ilimshtua sana. Akichonga machache na Over Ze Weekend, Lulu Diva anayetamba kwa sasa na Ngoma ya Usimwache iliyofanyika MJ Records chini ya Daxo Chali alisema, amekuwa […]

Read More..

Nimezaliwa Upya, Subirini Cheche!-TID

Post Image

VITA vya dawa za kulevya imeshika kasi huku tukiona wasanii wakizungumziwa kutokana na kujihusisha na matumizi ya dawa hizo. Matumizi ya dawa za kulevya yamechangia kwa kiasi kikubwa kuharibu ndoto za watumiaji. Watumiaji katika jamii ni wengi huku sanaa ikiwa ni moja ya wahanga wakubwa wa tatizo hilo. Ni rahisi kuwatambua wasanii wanaojiusicha na matumizi […]

Read More..

TID Kumshtaki Steve Nyerere, ni Baada ya Ku...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki Khalid Mohamed ‘TID’ ameahidi kuwachukulia hatua watu wanaosambaza taarifa kuwa alipewa pesa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kama kivuli katika sekeseke la kutaja majina ya wanaohusika na dawa za kulevya. Muimbaji huyo alisema yeye alikuwa ni muathirika wa dawa za kulevya na serikali ilimkamata kwa kosa […]

Read More..

VIDEO: Mzee wa Upako Amuonya Nay wa Mitego ...

Post Image

Baada ya hivi karibuni msanii wa hip hop, Nay wa Mitego kutangaza kuwa atafungua kanisa lake ambalo litakuwa si la biashara bali ni la kumuabudu Mungu aliye hai, Mchungaji maarufu nchini, , Lusekelo Anthony aka Mzee wa Upako amemuonya kutomchezea Mungu. Mzee wa upako ameyasema hayo alipotafutwa na E-News ya EATV baada ya kuulizwa maswali […]

Read More..

Video: Alikiba Alivyovutia mashabiki Kwenye...

Post Image

Alhamis hii, Alikiba alialikwa na ubalozi wa Marekani nchini Afrika Kusini pamoja na IBM kwenda kuhudhuria uzinduzi wa filamu iitwayo, Hidden Figures. Kwenye uzinduzi huo, Kiba alikuwa kivutio kikubwa cha mashabiki waliohudhuria. “It was a heartfelt experience spending the evening with girls who were recently rescued from child trafficking. I pray for your peace and […]

Read More..

VIDEO: Jaydee Kutambulishwa Ukweni

Post Image

Mwanamuziki mkongwe katika muziki wa bongo fleva, Lady Jaydee amefunguka na kusema mwezi wa nne mwaka huu anategemea kutambulishwa ukweni kwa mchumba wake Spicy nchini Nigeria. Mbali na hilo Lady Jaydee amewataka watanzania pamoja na vituo mbalimbali vya radio kuacha uchonganishi kwa kuwapambanisha wasanii kwani kwa kufanya hilo ndiyo inajenga chuki na kufanya mashabiki waanze […]

Read More..

Jide Ataka Kulinda Heshima

Post Image

MKONGWE wa Muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee, amesema uzinduzi wa albamu yake ya saba unalenga katika kulinda heshima yake katika sanaa alikodumu kwa miaka 16 sasa. Albamu hiyo, Woman itazinduliwa mwezi ujao katika eneo ambalo bado halijatajwa na itahusisha baadhi ya nyimbo zake zinazovuma hivi sasa kama Ndindindi, Together na […]

Read More..

Dawa za Kulevya Zimewashusha Wasanii- Izzo ...

Post Image

RAPA Izzo Bizness, anayetamba na wimbo wa ‘Umeniweza’, ameweka wazi kwamba dawa za kulevya ndizo zilizoshusha viwango vya baadhi ya wasanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini. Izzo alidai hataki kuingia ndani zaidi katika masuala hayo, lakini anaamini wasanii wengi wa muziki huo wameshuka viwango vyao vya kuimba na kutunga kutokana na matumizi ya dawa […]

Read More..

Kesi ya Wema Sepetu Upelelezi Haujakamilika...

Post Image

Malkia wa filamu Wema Sepetu Jumatano hii alirudi Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya. Kesi hiyo imeahirishwa baada ya upande wa mashtaka kusema upelelezi haujakamilika hivyo kesi hiyo imepangwa kusikilizwa 15 March 2017. Muigizaji huyo ni mmoja kati ya wasanii ambao walitajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa wa […]

Read More..

VIDEO: Ray C Akumbana na ‘Majanga’ Mengine

Post Image

Msanii wa bongo fleva Ray C amefukuzwa kwenye lebo ya wanene Enterteiment baada ya kauli ya yake aliyodai  kwamba hajasaini na lebo yeyote. Akionge kupitia eNewz ya EATV, Maneja wa Wanene Enteriment Gentris amesema kuwa Ray C alikuwa kwenye hatua za mwisho kuweza kusajiliwa katika lebo ya Wanene ila alikosea baada ya kupewa demo ya nyimbo yake […]

Read More..

Fid Q Afungukia Kupiga Chini Gemu

Post Image

MWANAMUZIKI mwenye jina kubwa katika Muziki wa Hip Hop Bongo, Farid Kubanda ‘Fid Q’ hivi karibuni amefunguka kuwa yeye si wa kuacha muziki leo wala kesho maana muziki ni sehemu ya maisha yake na ataufanya mpaka pale Mungu mwenyewe atakapoamua kuwa aachane nao. Akichonga na Uwazi baada ya kuuliza juu ya kuachana na muziki siku […]

Read More..

VIDEO:Mzee wa Upako Achumbua Wimbo wa ̵...

Post Image

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ameichambua ngoma wa msanii wa bongo fleva, Darassa inayokwenda kwa jina la Muziki, na kusema kuwa msanii huyo ameimba vitu vya maana sana kwenye ngoma hiyo. Mchungaji Lusekelo ambaye amewahi kunukuliwa akitumia maneno ya wimbo huo na nyingine kadhaa za bongo fleva katika mahubiri […]

Read More..