VIDEO: Steve Nyerere Atoa Neno kwa Nape
Muigizaji maarufu wa vichekesho Steve Nyerere amemshauri Mh.Nape Nauye kumshukuru Mungu na kumuomba kwa kutenguliwa uwaziri kwa kuwa hajui ameepushwa na jambo gani. Akiongea na eNewz Steve Nyerere ameendelea kusema kwamba Mh. Nape nje ya uwaziri alikuwa ni msanii pia na alikuwa anaithamini thamani ya msanii na kuilinda pia alikuwa akipenda maendeleo ya wasanii na maendeleo yake na […]
Read More..





