-->

Category Archives: Bongomovies

artists from Tanzania , East AFRICA

JB Afungukia Soko la Kazi Zake

Post Image

Msanii maarufu wa filamu hapa nchini, Jacob Steven ‘JB’ amefunguka na kuweka wazi kuwa tangu ameanza uigizaji hajawahi kupata changamoto ya soko ya kazi zake kama ambavyo baadhi ya wasanii wa filamu bongo wamekuwa wakilalamika. JB ambaye mpaka sasa ametengeneza filamu zaidi ya 40 ikiwa ni pamoja ya zile kazi alizoziandaa na kuigizwa na watu wengine […]

Read More..

Mrithi wa Kanumba Afunguka Haya Juu ya Kanu...

Post Image

Kupitia Ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, muigizaji  Fredy Swai aliyetajwa na mama mzazi wa marehemu Kanumba kuwa ndiye mrithi atakae vaa viatu vya mtoto wake , Kanumba katika tasnia ya uigizaji , amefunga haya mara baada ya kuweka picha ya Kanumba;   Haimaanishi kwamba uliimaliza sanaa yote iliyoandikwa kwenye vitabu.. Ila kwa hapa Tanzania […]

Read More..

Dino Arudi Kuikoa ‘Bongo Movie’

Post Image

Msanii wa Bongo Movie Dino amesema kwa sasa yupo tayari kurudi kwenye tasnia hiyo baada ya kukaa miaka minne bila kucheza movie yeyote hali iliyofanya ajifunze mengi nje ya movie. Akipiga story kupitia eNewz, Dino amesema hawezi kupotea kwenye movie kwa kuwa alikuwa anafanya vizuri na ana kipaji ambacho yeye mwenyewe anakitambua hali inayopelekea mashabiki zake kuendelea […]

Read More..

Asha Boko: Nipo Tayari Kuolewa

Post Image

Msanii wa maigizo ya vichekesho Asha Boko amesema ameishi katika maisha ya upweke kwa miaka 8 baada ya mume wake kufariki. Akiongea kupitia eNewz Asha amesema aliamua kukaa peke yake baada ya mume wake kufariki na aliamua kulea watoto wake peke yake bila kuwa na baba wa kufikia kwa kuwa aliogopa usumbufu wa wanaume kwani huenda wangewanyanyasa […]

Read More..

Huu Ndiyo Ujio Mpya wa Wastara, Hapendeki

Post Image

The return of bongo movie queen Wastara Juma kwenye filamu ya Hapendeki inayotoka 13.02.2017 sio ya kukosa hii unaambiwa moto ukishazimika jivu halina thamani tena…….

Read More..

Dj Mark: Tamthilia za Nje Zinaipiku Mno Bon...

Post Image

‘WANAKUJAAA hao!’ Msemo huu si mgeni masikioni mwa wafuatiliaji wa tamthilia za kikorea, kifilipino, kizungu, kichina na filamu mbalimbali ambazo zimewekwa vionjo vya lugha ya kiswahili. Maneno hayo hutumiwa zaidi na Ahmada Abdulrahman maarufu Dj Mark, G Mashine, Jogoo kutoka lebo ya Acheche Production. Licha ya biashara hiyo kupingwa na Serikali kwa kukiuka sheria za […]

Read More..

Haya Ndio Majibu ya Mrithi wa Kanumba Kuhus...

Post Image

KUTOKANA na hivi karibuni mama wa aliyekuwa staa mkubwa wa filamu, Steven Kanumba, Flora Mtegoa kumwanika kijana ambaye ni mwigizaji wa tamthilia, Fredy Swai kuwa ndiye mrithi wa mwanaye, kijana huyo alibadilika muonekano usoni baada ya Global TV Online kumhoji kuhusu ukaribu wake na Elizabeth Michael ‘Lulu’ aliyekuwa mpenzi wa Kanumba. Fredy aliulizwa kama ana […]

Read More..

Bodi ya Filamu na Wadau wa Filamu Kuandaa S...

Post Image

Katibu wa Bodi ya filamu Bi. Joyce Fissoo amezidi kuonyesha dhamira kuu kwa wadau wa filamu baada ya kupigania uharakishaji wa uandaaji wa Sera ya Filamu ili kuwajengea wadau hao thamani ya kazi yao huku ikiwapa kipaumbele kikubwa katika kuwashirikisha wawakilishi wa wadau wa Filamu na kutoa maoni yao kupelekea kujenga tasnia yenye nguvu. Kwa […]

Read More..

Stara Atoboa Kinachowapa Umasikini Wasanii

Post Image

Mwanamuziki mkongwe wa kike nchini Stara Thomas amefunguka na kusema kuwa kuna sababu nyingi sana kwa wasanii wa kike hata wakiume kushuka kimuziki na moja ya sababu kubwa ni kuendekeza sana mapenzi. Stara Thomas alisema haya kupitia kipindi cha Planet Bongo na kudai wasanii wengi wanashindwa kurudi kwenye biashara ya muziki kutokana na kukata kwa […]

Read More..

Mkwanja Wampeleka Kidoa Bongo Movie

Post Image

MUUZA nyago mwenye figa matata Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amesema kuwa,  miongoni mwa mabadiliko aliyoyafanya katika mwaka huu wa 2017 ni kujikita kwenye ulimwengu wa filamu kuliko mambo ya kuwa video queen. Akipiga stori na Global Publishers, Kidoa alisema kutokana na mapenzi mazito aliyonayo upande wa maigizo na kugundua kuwa filamu zinalipa kuliko u-video queen, […]

Read More..

Mtoto wa Ray, Jaden Afuata Nyayo za Tiffah ...

Post Image

Tiffah ni mtoto maarufu zaidi kwenye mtandao wa Instagram Afrika akiwa na followers zaidi ya milioni moja. Mdogo wake, Nillan naye anafuata nyayo zake akiwa na followers zaidi ya 99k sasa. Akaunti zao husimamiwa na mama yao, Zari na hutumia Kimombo. Na sasa mtoto mwingine wa mastaa wa Bongo, Jaden naye amejiunga kwenye kundi la […]

Read More..

Maneno ya Mike Sangu kwa Mama Kanumba Baada...

Post Image

KUTOKANA na hivi karibuni mama wa aliyekuwa staa mkubwa wa filamu, Steven Kanumba, Flora Mtegoa kumwanika kijana Fredy Swai kuwa ndiye mrithi wa mwanaye, msanii wa filamu nchini, Michael Sangu ‘Mike’ (pichani juu) ameibuka na kusema mama huyo na watu wengi waache kumfananisha staa huyo na watu wa ajabu ajabu.   Akizungumza na Gazeti la […]

Read More..

Davina: Magufuli Ametunyoosha!

Post Image

MTOTO mzuri Bongo Movies, Halima Yahaya ‘Davina’, ameweka ‘plain’ kuwa uongozi wa Rais Dk. John Pombe Magufuli si wa mchezomchezo kwani ili uweze kuishi, lazima utoke jasho kwelikweli tofauti na zamani ambapo mtu ulikuwa unaweza kupiga ujanjaujanja na maisha yakaenda. Davina alifunguka hayo alipokuwa akitoa tathimini yake kuhusu hali ya kiuchumi alipokutana na mwanahabari wetu […]

Read More..

Miriam Ismail: Kansa ya Bongo Muvi Ni Stori...

Post Image

KIPAJI chake kimeanza kuonekana alipokuja na filamu ya ‘Best Man’ ambayo iliandaliwa na 5 effect chini ya William Mtitu.  Hapo utajua kuwa binti huyu hakuvamia fani bali hicho ndio kipaji chake alichotoka nacho tumboni kwa mama yake. Filamu ya Best Man ilizua gumzo nchi nzima kwani alionyesha jinsi gani uhalisia unatakiwa nadhani ingekuwa kipindi hiki […]

Read More..

Dokii Afunguka Kumzimia Daraka

Post Image

Staa wa Bongo Movie, Dokii ameshindwa kuzuia hisia zake za mahaba kwa rapa darassa anayekiki zaidi kwa sasa hapa Bongo na ngoma yake ya Muziki, na kuamua kueleza wazi kuwa anampenda sana. Dokii ambaye amekuwa kimya muda mrefu kwa kutofanya kazi yoyote mpya ya sanaa, amesema kwa sasa anamkubali sana Darassa kupitia kazi yake ya […]

Read More..

Video: Gigy Money Anaharibu Brand ya Jacque...

Post Image

  Mtangazaji wa kipindi cha fashion cha Storm kupitia Clouds TV, Lillian Masuka, ana mtazamo tofauti na uchaguzi wa Jacqueline Wolper wa model anayetangaza duka lake jipya la nguo ambaye ni Gigy Money. Tazama video hapo chini kumuangalia akieleza kwanini anaamini hivyo.

Read More..

Mzee Jangala Awaingiza ‘Jandoni’...

Post Image

Mkongwe wa sanaa za maigizo nchini Mzee Jangala amewachana wasanii wa kiume wanaovaa nguo zinazobana, kutoboa masikio na kuonesha maumbile yao. Akiongea kupitia eNewz amesema vijana wanapaswa kujitambua na kuelewa maana ya utandawazi na siyo kuiga mambo mbalimbali ikiwemo kukaa uchi mbele za watu wazima kubadilisha maumbile yao halisi na kudai kuwa wanafuata utandawazi na kupotosha jamii zima. […]

Read More..

Kajala Afungukia Video Chafu Inayodaiwa ya ...

Post Image

Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ipo video iliyosambaa ambayo inamuhusu binti mdogo wa chini ya miaka 18 akifanya mapenzi na mtu mzima ndani ya Gari. Awali ilisemekana kuwa katika video hiyo binti aliyeonekana ni Paula Paul ambaye ni mtoto wa staa wa filamu Kajala Masanja hali ambayo ilimfanya muigizaji huyo kukanusha uvumi huyo. Muigizaji huyo […]

Read More..