DSTV Kuwapa Ulaji Waigizaji wa Bongo Movies
KING’AMUZI cha Dstv kilicho chini ya Multchoice, kinatarajia kutoa kipaumbele kwa waigizaji Watanzania kutumia chaneli yake ya ‘Maisha Magic Bongo’ kutoa elimu ya lugha ya Kiswahili Afrika. Akizungumza na MTANZANIA jana, Barbara Kambogi alisema watakuwa wakitumia kazi za waigizaji wa Tanzania kufundisha lugha hiyo. Barbara alisema kuwa Ijumaa ijayo wanatarajia kufanya mazungumzo na waigizaji wa […]
Read More..





