-->

Category Archives: Other Celebs

singers

Wananiroga Sana – PNC

Post Image

Msanii PNC ametoa sababu ya yeye kutofanya vizuri sasa hivi kwenye kona ya muziki, huku akihusisha imani za kishirikina, ambazo hivi karibuni baadhi ya wasanii wamekiri kuwepo kwa mambo hayo. PNC ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kuwa pamoja na kuwa ameshawahi kufanya kazi zingine […]

Read More..

Wengi Hawapo Tayari Kupiga Vita Dawa za Kul...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo Fleva Rehema Chalamila kama Ray C amefunguka na kusema kuwa watu wengi hawapo tayari kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya nchini jambo ambalo linazidi kuwapoteza vijana wengi kutokana na matumizi ya dawa hizo. Kupitia Account yake ya Instgram Ray C aliyasema haya na kuwataka vijana wa Tanzania kusimama mstari […]

Read More..

Raila Odinga Amtembelea Rais Magufuli Nyumb...

Post Image

Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Raila Amoro Odinga amemtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyopo mapumzikoni katika Kijiji cha Kilimani, Wilaya ya Chato Mkoani Geita. Mheshimiwa Odinga ambaye ameongozana na mkewe Mama Ida Odinga na Binti yake Winnie Raila Odinga, wametua kwa Helkopta katika uwanja wa […]

Read More..

Juma Nature Ndiye Alikuwa Mkubwa Wanaume Fa...

Post Image

Msanii wa Bongo Flava nchini Chege Chigunda amesema msanii mwezake Juma Nature ndiye msanii alikuwa mkubwa kuliko yeye na wenzake katika kundi la Wanaume Family na kuwafanya watambulike kwenye ramani ya muziki. Chege ameonyesha wazi kumkubali Juma Nature alipokuwa akizungumza katika kipindi cha MKASI kinachorushwa kila siku ya Jumatatu na kituo cha EATV. Msanii Chege […]

Read More..

Jide: Sijampiga Kijembe Gardner

Post Image

MKONGWE wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide, amefunguka kuwa katika wimbo wake mpya wa Ndindindi, hajampiga kijembe  aliyekuwa mumewe, Mtangazaji Gardner G. Habash kama wengi wanavyodhani. Akizungumza na mwanahabari wetu, Jide alisema wimbo huo ulitungwa na watu wake tofauti na yeye kuukamilisha hivyo kwa kuwa umebeba ujumbe mzito ni rahisi mtu kuhisi […]

Read More..

Afande Sele Aelezea Kwanini Akifa Anataka M...

Post Image

‘Hii ni imani ambayo nimeifikiria muda mrefu na nikajua lazima niifate, kila mtu ana kitu ambacho anakiamini na kwangu naamini moto ndio kila kitu kwenye maisha, kama maandiko yanavyosema Mungu ni moto ulao… naamini moto ndio mfumo ambao hata Mungu anatokana na moto wenyewe‘ – Afande Sele Kwenye sentensi ya pili Afande amesema ‘wakisema Mungu […]

Read More..

Chege Kuvunjika TMK Wanaume, Mh Jakaya Alih...

Post Image

Msanii kutoka kundi la Wanaume Family, Chege Chingunda amefunguka na kusema kuvunjika kwa kundi la ‘Wanaume TMK Familiy’ kulimuuzunisha mpaka aliyekuwa Rais wa awamu ya nne ya Tanzania Mh. Jakaya Kikwete. Akizungumza kwenye kipindi cha MKASI kinachorushwa na EATV Chege alisema kuwa Rais Kikwete aliwaambia kuwa amehuzunishwa sana na kitendo cha kundi hilo kuvunjika kwani […]

Read More..

Sijawahi Kutoka na Nisha -Baraka de Prince

Post Image

Msanii Baraka de Prince ambaye kwa sasa anafanya poa na ngoma yake ya ‘SIWEZI’ na ambaye amedondoka kwenye penzi la msanii mwenzake Najma Datan amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake yeye hajawaji kutoka kimapenzi na msanii wa filamu nchini Salma Jabu alimaarufu kama ‘Nisha’. Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live, Baraka de Prince alisema […]

Read More..

Sina Tatizo na Hakeem 5 – Ali Kiba

Post Image

Msanii Alikiba ametolea ufafanuzi tuhuma zilizotolewa na msanii mwenzake hakeem 5, huku akisema hataki hata kumuona kwani si mtu mzuri na amekataa kufanya naye colabo. Ali Kiba ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na east africa Radio, na kusema kwamba yeye binafsi hana tatizo na Hakeem 5, kwani yeye ni kama […]

Read More..

Kwenye Muziki Uchawi Upo -Said Fella

Post Image

Meneja wa Kundi la Yamoto Band Said Fella ‘Mkubwa Fella’ amesema anakubali kwenye tasnia ya muziki hapa nchini uchawi pia upo. Fella ameyasema hayo katika kipindi cha eNews kinachorushwa na EATV siku ya Jumatano baada ya msanii wa bendi ya Jordan inayopiga nyimbo za injili kusema kwamba kwenye muziki wa Bongo Fleva masuala ya ushirikina […]

Read More..

Waziri Nape Anunua Albamu Kwa Sh Mil 3

Post Image

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, amenunua nakala moja ya albamu ya Injili ya msanii na prodyuza, Goodluck Gozbert, kwa Sh milioni 3 kutokana na kuguswa na ujumbe uliopo katika albamu hiyo. Waziri huyo alinunua albamu hiyo wakati wa uzinduzi wa albamu hiyo ya kwanza ya msanii huyo iliyopewa jina la ‘Ipo […]

Read More..

Nuh Ammwaga Mrithi wa Shilole

Post Image

MKALI wa Bongo Fleva, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amefunguka kuwa, amemmwaga mpenzi wake aitwaye Erah Erah licha ya kwamba penzi lao lilitawaliwa na mbwembwe nyingi. Akipiga stori na paparazi wetu kuhusiana na maendeleo ya penzi lao, Nuh alifunguka kuwa demu huyo haikuwa riziki kwake kwani hakudumu naye baada ya kugundua hamfai na penzi lao limedumu […]

Read More..

Huu Ndiyo Mchango wa Diamond kwenye lebo ya...

Post Image

Msanii Diamond Platnumz amefunguka na kusema kwenye Label yake ya WCB yeye huwa anachangia vitu vidogo sana na kusema management yake chini ya Babutale na Mkubwa Fela ndiyo wanao waangalia wasanii na kuona kama wasanii hao wana vipaji na uvumilivu.   Akiongea na East Africa Radio kwenye kipindi cha Planet bongo Diamond Platnumz amedai wakati […]

Read More..

Nitaendelea Kuwa Mwanamuziki Mpaka Nakufa-P...

Post Image

Mbunge wa Jimbo la Mikumi na msanii wa bongo fleva, Joseph Haule maarufu kama Prof Jay amesema kuwa yeye ni mwanamuziki na ataendelea kufanya muziki mpaka siku atakapotoweka duniani. Prof Jay amefunguka hayo baada ya Babutale kutaka kufahamu ni lini msanii huyo ataachia kazi nyingine kwani toka amekuwa mbunge wa jimbo la Mikumi amekuwa kimya […]

Read More..

Zari, Diamond Kimenuka Ulaya!

Post Image

Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa Sweeden na familia yake. DAR ES SALAAM: Hakuna furaha isiyo na karaha! Ndiyo kauli inayoweza kutumika kwenye habari ya ziara ya Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Familia ya Wasafi Classic Baby (WCB) huko barani Ulaya ambapo staa huyo na mama mtoto wake, Zarinah Hassan ‘Zari The […]

Read More..

Serikali Iruhusu Bangi – Afande Sele

Post Image

Msani mkongwe wa Hip Hop ambaye alitupa karata yake kwenye siasa na kufeli Afande Sele, ameitaka serikali kuruhusu biashara na matumizi ya bangi, ili kuongeza pato la taifa kwa kuilipia kodi biashara hiyo. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Afande Sele amesema iwapo zao hilo la biashara likiruhusiwa rasmi nchini […]

Read More..

Stara Thomas: Bado Nipo Kwenye ‘Gospel’

Post Image

MKONGWE katika muziki wa Bongo Fleva, Stara Thomas, ameibuka na kudai kwamba muziki wa injili haujamshinda hivyo ataendelea kuimba Bongo Fleva na Injili kwa kuwa nyimbo zake hazipotoshi jamii. “Baada ya kukaa vizuri ndani ya Biblia nimeona naweza kufanya Bongo Fleva kwa ajili ya kuelimisha jamii huku nikiendelea kuimba muziki wa injili, cha msingi ni […]

Read More..

Harmonize Atamani ‘Levo’ za Diamond

Post Image

MSANII wa muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ amefunguka kuwa anatamani kuona anakuja kuongoza kundi la wasanii kama ilivyo kwa bosi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye anamiliki Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB). Harmonize, ambaye anatikisa kwenye stesheni mbalimbali za redio na runinga hapa nchini na ngoma yake ya Bado, aliompa shavu Diamond […]

Read More..