-->

Daily Archives: April 21, 2017

Bongo Movie tunawajua zaidi kwa mengine ...

Post Image

Rapa Nikki wa Pili kutoka katika kundi la Weusi amefunguka na kusema kuwa wasanii wengi wa bongo movie wanafahamika kwa mambo mengi na si kufahamika zaidi kutokana na kazi zao za kila siku. Nikki alisema hayo kama kuwapa funzo wasanii wa filamu kuwa wanapaswa kufanya kazi ambazo ndiyo zitawapa heshima zaidi na kuwafanya watu watambue […]

Read More..

Mke wa Chameleon Adai Talaka Mahakamani

Post Image

MKALI wa muziki nchini Uganda, Jose Chameleon na mke wake, Daniella Atim, wanaweza kuachana hivi karibuni baada ya mwanamke huyo kwenda mahakamani kwa lengo la kudai talaka. Wawili hao walifunga ndoa Aprili 18, 2017 na wana watoto wanne ila kwa sasa wanaweza kuachana, huku mrembo huyo akidai kuwa ananyanyaswa mno na Chameleon. Kwa mujibu wa […]

Read More..

Tunu ya JB Kuzinduliwa leo Ukumbi wa Sinema...

Post Image

Kampuni ya steps itazindua Filamu ya Tunu leo kwenye ukumbi wa Sinema wa Quality Center (Sineplex Suncrest Cinema) kuanzia saa 12 jioni.      

Read More..

Joh Makini Akwepa Ishu Hii ya Fid Q

Post Image

Msanii wa hip hop kutoka Kundi la Weusi, Joh Makini, amesita kuzungumzia issue ya ushindani kati yake na rapa kutoka Mwanza Fareed Kubanda ‘Fid Q’. Mashabiki katika mitandao ya kijamii wamekuwa wakiwashindanisha wawili hao, kutokana na uwezo wao wa kuandika mistari na kuchana, hali ambayo imetengeneza taswira ya kwamba huenda hawana maelewano. Mtangazaji JJ wa […]

Read More..

VIDEO: Nay Afungukia Ishu ya Roma Mkatoliki

Post Image

Mwanamuziki anayesumbua kwa sasa na wimbo wa ‘Wapo’ Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego amejitetea kwenye eNewz ya EATV kuwa watu wasihusishe vitu anavyoweka kwenye mitandao ya kijamii na tukio la utekwaji wa msanii Roma Mkatoliki. Nay amefunguka hayo baada ya kuulizwa kuhusu maneno aliyoyaweka kwenye mtandao wake wa Instagram siku moja baada ya kupatikana kwa msanii Roma […]

Read More..

Wema: Deni Tulilonalo ni kwa Watanzania tu

Post Image

STAA wa filamu na malkia wa mtandao Bongo, Wema Abraham Sepetu ‘Maddam’, amewafungukia wasanii walioandamana Kariakoo wakidai kuwa filamu zao haziuzi kutokana na mfumo wa usambazi wa kazi zao uliopo jijini Dar. Madai hayo yamezuia mijadala kila kona ya jiji na nje ya Dar es Salaam. Wema amechapisha katika ukurasa wake wa Instagram na ujumbe […]

Read More..