-->

Daily Archives: January 3, 2016

Lulu, Uwoya, Wema… Pisheni Njia

Post Image

SINEMA mpya ya kimataifa ya Homecoming imekuja na vipaji vipya katika sinema za Kibongo, huku Magdalena Munisi akiibuka na kuwatishia amani madiva wa Bongo Muvi wanaotesa katika tasnia hiyo. Mastaa wanaoonekana kufanya vizuri zaidi Bongo Muvi kwa sasa ni pamoja na Elizabeth Michael ‘Lulu’, Irene Uwoya, Wema Sepetu, Rose Ndauka, Shamsa Ford na Aunt Ezekiel. Magdalena ambaye katika sinema hiyo amecheza kama […]

Read More..

Kambi Kupaa Kimataifa

Post Image

MKONGWE kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Hashim Kambi amesema anamshukuru Mungu kwa kumaliza na kuuona Mwaka Mpya akiwa nchini Mare­kani huku akiahidi kuzidi kutusua kimataifa mwaka huu. Akizungumza na Swaggaz kwa njia ya simu kutokea Wash­ington DC, Marekani, Kambi amesema yupo katika hatua za mwisho kukamilisha sinema mpya anayorekodi nchini humo akiwa na mwigizaji […]

Read More..

JB Awataka Radhi Mashabiki

Post Image

MKALI wa filamu za kibongo, JB amewaomba radhi mashabiki wake kwa mkosa mbalimbali ya kiufundi ambayo yalitokea kwenye baadhi ya kazi zake mwaka uliopita na amewataka waendelee kumuunga mkono mwaka huu. ‘Niwashukuru mashabiki wangu kwa kuendelea kuniunga mkono hasa kwenye filamu yangu ya Chungu cha Tatu ambayo nimeiachia wiki chache zilizopita nawaahidi kazi nzuri zenye ubora zaidi mwaka huu,’ aliandika JB kwenye ukurasa wake wa Facebook.  

Read More..

Wema Sepetu: Sina Mpango wa Kuzaa

Post Image

Katika page yake ya instagram, staa mrembo Wema Sepetu aka Madame amewataka wote wanaompigia kelele kuhusu kuzaa mtoto wamkome, kwani hana mpango huo kwa sasa. Hiki ndicho alicho kiposti By Warumi on JF

Read More..

Malaika: Nimechoka Kufananishwa na Lulu

Post Image

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya anayefanya vizuri, Malaika Exavery amesema anakerwa na kitendo cha watu wengi kumfananisha na muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na gazeti hili, Malaika alisema huko nyuma alipokuwa akifananishwa na msanii huyo hakujali, lakini kadiri siku zinavyozidi kwenda imekuwa ni shida hadi wengine wanamsimamisha. “Unajua kufananishwa na mtu siyo tatizo, lakini […]

Read More..

Kingwendu: Ningepewa Hiki Ningekuwa Level ...

Post Image

Mchekeshaji maarufu nchini, Kingwendu amesema kama nyimbo zake zingepata promotion ya kutosha, angekuwa anashindana na wasanii wanaofanya vizuri kwa sasa, Diamond na Ali Kiba. Kingwendu ambaye alikuwa katika show za mwisho wa mwaka nchini Ujerumani hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo inamfanya aanze kutafuta maneja ili aweze kusimamia kazi za muziki wake. “Mwaka jana […]

Read More..