-->

Daily Archives: January 4, 2016

Mbu mwenyewe anaweza kuondoa malaria

Post Image

Mbu mwenyewe anaweza kuja ondoa  malaria. Je, ni kweli? Tafiti ndio zinasema, endelea hapa chini Kila mwaka, watu bilioni 3.2 wako katika hatari ya kuamukizwa malaria kutoka kwa mbu walioambukizwa na vijidudu vinavyosababishwa malaria. Lakini labda si kwa muda mrefu tukajasikia malaria imefutika kabisa. Sio ajabu tukasikia mtu anasema hii itakuwa  ni uongo,ndoto au haitawezekani […]

Read More..

Lulu: Mnanipa Bichwa Mwenzenu

Post Image

Staa mrembo wa Bongo Movies anayependwa na wengi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewapasha mashabiki wake mtandaoni kuwa wanavyozidi kumwagia misifa kwa urembo wake wanasababisha ajione kuwa yupo juu sana wakati yeye ni wakawaida. “Mnajua mkiniongelea Sana mnanipa Bichwa Mwenzenu????naanza kuona Kama bila mm vitu haviwezekani hivi???Msinifanyie hvyo…Najikuta MATAWI mwenzenu???wakati Sina lolote?”-Lulu

Read More..

Kupanda na Kushuka kwa Shirikisho la Filamu

Post Image

SHIRIKISHO la filamu Tanzania (TAFF) lipo kwa miaka kadhaa huku tukishuhudia changamoto nyingi zinazokabiri shirikisho hilo ambalo pamoja na kuanzishwa kwake ni chombo kisichotengeneza fedha kutokana na vyama vinavyounda TAFF kukosa miradi kama michango kutoka kwa wanachama wake. Taff imekuwepo kitambo lakini imekuwa Lulu baada ya kuanzisha michakato yenye tija kwa wasanii na wadau husika […]

Read More..

Diamond, Romy Jones Watibuana

Post Image

Kimenuka! Mbongo-Fleva mwenye taito kubwa Afrika kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kutibuana na kaka yake, Romy Jones ‘Romy Jons’, kiasi kwamba hata mawasiliano ya simu hayapo kama ilivyokuwa zamani. Hivi karibuni chanzo makini kimeliambia gazeti hili kwamba, Diamond na kaka yake huyo ambaye ni mtoto wa mama yake mdogo wamefikia hatua ya kutoongea […]

Read More..

Nyerere Kutoa Filamu Kubwa Mwaka Huu

Post Image

Steve Nyerere amesema baada ya kukaa kimya kwa miaka minne bila kutoa filamu, mwaka 2016 atawapa raha mashabiki wake.   “Nina miaka minne sijatengeneza wala kutoa sinema na si kwamba siuzi,” aliandika kwenye Instagram. “Kwa mwaka nitakuwa natoa sinema 1 tu ila itakuwa zaidi ya vile tunavyofikiria, ni ubora wa hali ya juu sio kwa […]

Read More..

Esha: Nikipata Tatizo Team Diamond Itahusik...

Post Image

Chokochoko! Msanii wa filamu za Kibongo, Esha Buhet amefunguka kuwa endapo atakumbwa na tatizo lolote basi timu ya Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Team Diamond itahusika. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Esha alisema kuwa chokochoko zilianza alipoposti picha za Ali Kiba mtandaoni ambapo Team Diamond walianza kumtukana na kumwambia watamfanyia kitu mbaya. Chanzo: […]

Read More..