-->

Daily Archives: January 21, 2016

Kumteka Mwanamke Mwenye Mapenzi ya Kweli ni...

Post Image

“Kumteka mwanamke mwenye mapenzi ya kweli ni rahisi sana kuliko wengi wanavyofikiri, ni vitu vidogo tu, muonyeshe mapenzi ya kweli, muweke wazi kwa kila kitu chako,jiamini hata km huna uwezo sana, mjali na umpende, ukifanya hayo umeishika roho yake, walimwengu wataongea yao, watapiga kelele hatoona wala kusikia, lkn ukimdnganya na ukamletea maisha feki, na ukadhani […]

Read More..

Wolper Akanusha Kuihama CHADEMA na Kukataa ...

Post Image

Staa mrembo wa Bongo Movies, Jacqueline Woper ambaye alikuwa msatari wa mbele kumpigia kampeni aliekuwa mgombe urasi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye uchaguzi wa mwaka jana, Mh. Edward Lowassa amekanusha habari iliyoripotiwa na moja ya magazeti ‘pendwa’ kuwa kwa sasa staa huyo ameshajitoa CHADEMA na hataki tena kuitwa mtoto wa Lowassa ‘Jacqueline […]

Read More..

Zari: Sina Haja ya Kupima DNA,Tiffah ni Mto...

Post Image

Kwa wiki kadhaa kwenye kwenye mtandao wa Instagram kumekuwa na majibishano ya vijembe kati na Wema Sepetu na Zari hasa kuhusiana na uhalali wa mtoto wa Tiffah kama ni wa Diamond. Zari amepiga stori na @cloudsfmtz moja kwa moja kutoka Sauz. ‘’Ngoja nikwambie kitu mimi ni mzazi ni muda mrefu Wema na timu yake wamekuwa […]

Read More..

Wema Adai Kuwa Kajala ni Mtu Mzima Fulani ...

Post Image

Wema Sepetu amesema hataki tena kuwa karibu na rafiki yake wa zamani Kajala Masanja kwa madai alishindwa kumtafuta na kumuomba msamaha kwa makosa aliyoyafanya.   Akizungumza katika kipindi cha Take One cha Clouds TV, Wema alisema Kajala kwa sasa anamchukulia kama mtu asiyemfahamu. “Mimi mtu ambaye sitaki kujiassociate naye namtoa kabisa ndio maana naweza nikakaa […]

Read More..

Chakula Bora cha Mifugo Yako Kinapatikana H...

Post Image

Tunauza Chakula cha mifugo (kuku,nguruwe,ng’ombe) chenye virutubisho mara tatu ya chakula cha kawaida na bei yake ni nafuu zaidi Kwawanaohitaji au maelezo zaidi Wasiliana nasi kuputia namba hizi 0655 691 951/ 0652715017 Karibuni sana.

Read More..

Nililipwa Elfu 50 Kwenye Filamu Yangu ya Kw...

Post Image

Msanii wa filamu na mjasiriamali, Salma Jabu aka Nisha amesema licha ya sasa hivi kumiliki kampuni yake ya filamu, pesa yake ya kwanza kulipwa katika filamu ilikuwa ni shilingi 50,000. Nisha ambaye kwa sasa ni miongoni mwa wasanii wenye mafanikio kwenye filamu, amekiambia kipindi cha Uhondo cha EFM kuwa baada ya kuanza kupata mafanikio kidogo […]

Read More..