-->

Daily Archives: January 25, 2016

Sitaki Kusikia Siasa Tena- Mzee Yusuf

Post Image

Mzee Yusuf mwaka jana alikuwa na nia ya kugombea ubunge kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Fuweni Zanzibar lakini baadaye alipigwa chini kwenye kura za maoni na badala yake alikuwa akionekana kwenye kampeni za chama hicho akitoa burudani kama ambavyo wasanii wengine walikuwa wakifanya. “Sahizi nasema ukweli kabisa sitaki kusikia kitu kinaitwa […]

Read More..

Madee Achomoa Kuchoma Gari Lake Baada ya Ki...

Post Image

Baada ya Arsenal jana kupigwa kichapo cha bao moja mtungi na Chelsea, msanii wa bongo fleva Madee amechomoa kuchoma gari lake kama alivyoahidi na kusema yeye hana utajiri huo wa kuchoma gari na hata kama angekuwa nao asingeweza kufanya hivyo. Madee jana alipost kwenye Account yake Instgram na kudai kuwa kama Arsenal watafungwa na Chelsea […]

Read More..

Kajala Ajivunia Paula Wake

Post Image

Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja ameonyesha kujivunia kukuza binti yake,  Paula kwa kuweka picha hizo hapo juu mtandaoni akiwa na Paula wakati akiwa mtoto na sasa hivi alivyokuwa binti  kisha akaandika haya. “Back then when my Paula was a baby now she is a grown young lady, I love u princess????”-Kajala Hongera sana […]

Read More..

Picha: Wastara Akifanya Mazoezi Nchini Indi...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma ambaye yupo  nchini India kwa matibabu amebandika picha hizi kwenye ukursa wake mtandaoni akiwa anafanya mazoezi ya kutembea kama anavyonekana hapo chini.

Read More..

Zari ‘Mama Tiffah’: Nafuata Din...

Post Image

BAADA ya sintofahamu nyingi kuibuka katika mitandao ya kijamii kuhusiana na picha za mpenzi wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zari the boss Lady, kusambazwa katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha akibatizwa mtoni, mwenyewe ameibuka na kuweka sawa sintofahamu hizo. Akizungumza na mtangazaji, Millard Ayo kupitia kipindi cha Top Twenty, Zari […]

Read More..

Idris Athibitisha Kumpa Wema Ujauzito

Post Image

Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2015 Idris Sulta, athibitisha kumpa ujauzito mlimbwende amabaye hakauki vinywani mwa watu kutokana na umaarufu wake na urembo wake Wema Sepetu, huku akijivunia kuwa na mwanamke huyo maishani mwake. Katika ukurasa wake wa Instagram Idris Sultan ameandika maneno ambayo yanaashiria wazi mlimbwende huyo ambaye pia anafanya vizuri runingani […]

Read More..

Nisha: Nikilala na Kuamka na Barakah Da Pri...

Post Image

Staa wa Bongo Muvi, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye kwa sasa yupo kwenye malavidavi na Mwanamuziki Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’, amefunguka kuwa hajali ni wangapi wanampenda jamaa huyo kikubwa analala naye na kuamka naye. Akizungumza na mwandishi wetu, Nisha alisema kuwa kwa kawaida tamaa kwa wanaume ni jambo la kawaida lakini kwa upande wake anaangalia […]

Read More..