Juma Nature Niache Kwanza -KR Muller
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anajitambulisha kama Rais wa Rader Enteternment rapper KR Muller amemuambia msanii mwenzake mkongwe Juma Nature amuache kwanza afanye mambo yake. KR ameyasema hayo alipokuwa akiongea na eNews ya EATV kuhusiana na ushauri aliopewa na rafiki yake ambaye waliimba wote katika kundi la TMK Wanaume family Juma Nature […]
Read More..





