-->

Daily Archives: July 7, 2016

Malaika:Sitaki Tena Mpenzi wa Bongo

Post Image

MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Diana Exavery ’Malaika’ amefunguka kuwa kwa sasa hataki tena mpenzi Bongo badala yake akitokea mtu kutoka nje ya nchi, yuko radhi kuwa naye.   Akizungumza na Risasi Vibes, Malaika ambaye hivi karibuni alimwagana na mpenzi wake Mbongo, anayefahamika kwa jina moja la Dadi, alisema wanaume wengi wa Tanzania […]

Read More..

Babu Seya, Papii Wamwangukia JPM

Post Image

MWANAMUZIKI Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanaye, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ ambao wanasota jela kwa kosa la kuwanajisi watoto 9, wamedaiwa kusaka uwezekano wa kujinasua gerezani kwa kumuangukia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Taarifa kutoka kwa chanzo makini zimeeleza kuwa wanamuziki hao kwa kushirikiana na ndugu zao, wamemuandikia barua […]

Read More..

Young D:Nimemrudia Mungu Sasa

Post Image

Msanii Young D ambaye siku za karibuni ameweza kuachana na matumizi ya dawa za kulevya amefunguka na kusema kwa sasa ameamua kumrudia Mungu ili kujijenga na kuzidi kujiimarisha zaidi kiimani ili asiweze kurudi gizani alikotoka. Young D amesema hayo kupitia kipindi cha Planet bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Young D anadai kuwa alikuwa anapigana […]

Read More..