-->

Daily Archives: July 1, 2016

Siwezi Bila Seba- J Plus

Post Image

MTAYARAISHAJI wa filamu Jimmy Mponda ‘Master’ amefunguka kwa kusema kuwa filamu za kimapigano anafanya vizuri anapokutana katika mapigano na mwigizaji Seba Mwangulo ‘Inspekita Seba’ ndio sababu anarudi naye tena. “Sinema za action ni ngumu sana kucheza hasa ukikutana na msanii ambaye hajui sinema za mapigano, hivyo nimerudi na Ispekita Seba katika filamu The Foundation nimekubali […]

Read More..

Roma: Tutaendelea Kuichana Serikali Inapoko...

Post Image

Msanii Roma Mkatoliki amefunguka na kusema kuwa ataendelea kuichana Serikali pale ambapo inakosea na wataisifia pale inapotenda mambo mema kwa jamii na amesisitiza kuwa yeye anaamini kuwa mpaka sasa katika uongozi wa Rais Magufuli. kuna mambo mengi ya kuzungumza au ya kuimba kwani kuna matukio mengi yaliyotokea ambayo jamii inataka majibu yake. “Tutaendelea kuichana Serikali […]

Read More..

Stanbakora Afunguka Kuoa Mwarabu

Post Image

MKALI wa vichekesho nchini, Stanley Yusuph ‘Stanbakora’, ameweka wazi kwamba mwakani ndiyo ataoa tena mwanamke mwenye asili ya Kiasia. Alilifafanulia MTANZANIA kwamba chaguo lake kwa wanawake ni wenye asili hiyo hasa kutoka Uarabuni na awe mcha Mungu. “Sina mpango na wanawake wa Afrika, napenda mke na mama wa watoto wangu awe mwanamke Mwarabu na anayejua […]

Read More..

Kajala Aeleza Mzimu wa Kifo Unavyomtesa

Post Image

Msanii maarufu wa filamu Bongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa, maisha yake ya sasa hayajatawaliwa na furaha kwani anaona kama vile siku zake za kuishi duniani zinakaribia kuisha. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Kajala alisema kuwa amefikia hatua ya kusema hayo kwa kuwa, kila wakati moyo wake unamuenda mbio na wakati mwingine kukumbana na ndoto mbaya […]

Read More..

Wema Sepetu: Mimi ni Kama Dhahabu

Post Image

MREMBO wa filamu Tanzania, Wema  Sepetu, amesema yeye ni dhahabu inayogombewa na watu hivyo hajali hata kama atachafuliwa namna gani katika mitandao ya kijamii. Wema aliliambia MTANZANIA kwamba, hana mpango wa kujibu vibaya vinavyoongelewa kuhusu yeye kwa kuwa yeye bado ni dhahabu inayotamaniwa kushikwa na kila mtu. “Mimi ni kama dhahabu hivyo kila mtu anatamani […]

Read More..