-->

Daily Archives: July 27, 2016

Mimba Nusura Imutoe Roho Wastara!

Post Image

Siku chache zilizopita, staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma alikiri na kufunguka kuwa ni mama kijacho baada ya kunasa ujauzito lakini taarifa za kusikitisha zilizolifikia gazeti hili mapema wiki hii zimedai kwamba, mimba hiyo imechoropoka katika mazingira ambayo yalitaka kuutoa uhai wake. Chanzo makini ambacho ni ndugu wa mwigizaji huyo kilichoomba hifadhi ya jina […]

Read More..

Nay wa Mitego Afungiwa na Kupigwa Faini

Post Image

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego. Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego hadi hapo litakapojiridhisha kwamba ametekeleza […]

Read More..

‘Fisi’ Aliyefanya Ngono na Wato...

Post Image

Raia mmoja wa Malawi alionekana katika habari moja ya BBC akihusishwa na tambiko la usafishaji wa wasichana wadogo kupitia kushiriki ngono nao amekamatwa. Eric Aniva amekamatwa kufuatia agizo la Rais Peter Mutharika kulingana na mkurugenzi wa mawasiliano katika ikulu ya rais Bright Molande aliyezungumza na BBC. Amesema kuwa Bw. Aniva aliyepewa jina la utani kuwa […]

Read More..

Jay Moe Afunguka Kutoka na Shilole

Post Image

Mwanamuziki rapa nchini anayetikisa kwa ngoma ya ‘Pesa Madafu’, Jay Moe amekuwa akionekana karibu sana na rapa Bilnass ambaye anatikisa na ngoma ya ‘Chafu Pozi’ kitu ambacho ni njia pekee ya Jay Moe kumpata mrembo Shilole. Baada ya kuwepo kwa tetesi za wawili hao kutoka kimapenzi na zaidi kuonekana picha wako pamoja kwenye moja ya […]

Read More..

Snura Kuwafurahisha Mashabiki Mwakani

Post Image

MSANII Snura Mushi ‘Snura Majanga’, aliyewahi kuwika na nyimbo mbalimbali, ameibuka na kudai kwamba ana mpango wa kutoa filamu moja mwakani. Snura alisema baada ya kuingia katika muziki amekuwa na shoo nyingi kiasi kwamba hukosa muda wa kuigiza, licha ya mashabiki wake kumtaka afanye hivyo hata kwa mara moja. “Mashabiki wangu wamekuwa wakinitaka angalau nicheze […]

Read More..