-->

Daily Archives: July 19, 2016

Lulu Usitukane Wakunga, Uzazi Ungalipo!

Post Image

KWAKO mtoto mzuri ndani ya Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Hujambo? Habari ya huko ulipo? Wazima wote na familia yako? Shemeji yetu naye hajambo? Hongera maana naona siku hizi umeamua kumuanika hadharani. Ukitaka kujua afya ya mimi kaka yako, sijambo. Namshukuru Mungu, naendelea kupambana ndani ya mjengo wa magazeti Pendwa, Global Publishers Ltd. Hapa sisi […]

Read More..

Mzee Majuto: Filamu Yangu Ijayo ni Zaidi ya...

Post Image

Msanii wa filamu za kuchekesha Bongo, King Majuto amesema kuwa filamu yake mpya ijayo ni zaidi ya filamu zake zilizopita. Akiongea na Times FM, “Hii ina ujumbe wa kuelimisha jamii kuachana na mambo Ambayo hayana manufaa kwa maisha ya sasa na nimewashirikisha wasanii mbalimbali maarufu.” Aidha Majuto amefafanua kuwa sababu ya kuchelewa kuiachia filamu hiyo […]

Read More..

Joh Makini Afunguka Kuhusu Wapi Bongo Fleva...

Post Image

Msanii Joh Makini ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya wa ‘Perfect Combo’ amefunguka na kusema muziki wa bongo fleva sasa unaelekea sehemu nzuri na wale wote waliokuwa wanafanya ujanja ujanja kwenye muziki wataachwa kwani wakati umebadilika sasa na watu wanataka kusikia muziki mzuri na si ujanja ujanja. Joh Makini aliyasema hayo kwenye kipindi […]

Read More..

Filamu ya Aisha Yaongoza Tuzo za Ziff

Post Image

FILAMU ya Aisha imenyakua tuzo nne za Ziff ikiwemo mwigizaji bora wa kike, Godliver Gordian, mhariri bora wa video, Momose Cheyo, mwongozaji bora, Chande Omari na filamu bora ya makala iliyokwenda kwa prodyuza, Amil Shivji.  Tuzo hizo za Bongo Movie zimetolewa kwa vipengele viwili kikiwemo cha tuzo za Azam na tuzo za ComNet. Filamu nyingine […]

Read More..