-->

Daily Archives: July 11, 2016

Dkt Shein: Zanzibar Kuwa Kitovu cha Filamu ...

Post Image

RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Zanzibar inaweza kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo katika tasnia ya utengenezaji filamu na maigizo kutokana na mandhari na historia yake katika fani hiyo sambamba na mikakati liyojiwekea. Dk. Shein aliyasema hayo leo Ikulu mjini Zanzibar, wakati alipokuwa na mazungumzo na Mkongwe wa Filamu za Kihindi Kunal […]

Read More..

Hakuna Ubaya Kutoka na Kajala- Msami

Post Image

Msanii Msami ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake wa ‘Mabawa’ amefunguka na kusema kuwa yeye ni mwanaume na Kajala ni mwanamke hivyo kwa kile ambacho kinazungumzwa na watu kuwa huenda anatoka naye kimapenzi ‘Si jambo baya kwani Kajala ni mtoto wa kike na yeye ni mwanaume hivyo chochote kinaweza kutokea kati yao’. Msami […]

Read More..

Rose Ndauka Afundukia Swala Ulabu ‘Lokesh...

Post Image

YAPO madai ya chini kwa chini kwamba eti staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka ili aweze kuigiza kwa uhalisia sawasawa lazima apige ulabu location, jambo ambalo amelikanusha vikali. Akizungumza na Juma3tata kwa njia ya simu juzi Jumamosi, Rose alisema kuwa hajawahi kunywa pombe location na kwamba maneno hayo yapuuzwe kabisa na mashabiki wake. “Nani […]

Read More..

Wolper Adaiwa Kunasa Mimba!

Post Image

Habari ya mjini! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe, anadaiwa kunasa ujauzito wa mwandani wake ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ hivyo yupo mbioni kutimiza ndoto yake ya kupata mtoto hivi karibuni. Habari za uhakika kutoka kwa watu wa karibu wa mastaa hao zilidai kwamba, ishu hiyo ni mpango wa […]

Read More..

Masanja Mkandamizaji Amvalisha Pete ya Uchu...

Post Image

Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi Masanja Mkandamizaji Jumapili hii amemvalisha pete mpenzi wake aitwae Monica akijiandaa safari ya kufunga pingu ya maisha. Muigizaji huyo ambaye pia ni mchungaji, Jumapili hii akiongezana na ndugu zake wa karibu pamoja na wasanii wenzake katika kanisa la Mito ya Baraka, aliweza kumvalisha pete mchumba wake Monica.

Read More..

Kutoka na Staa, Lazima Ujipange Aisee

Post Image

USTAA gharama! Inaelezwa hivyo na ndiyo ukweli wenyewe ulivyo. Mastaa wenyewe hupata wakati mgumu kutokana na kulazimishwa namna ya kuishi na taito zao kwa jamii. Pengine utakuta msanii fulani angependa kupanda daladala kwa nauli ya shilingi 400 kwa ruti moja, lakini kwa sababu ya kuogopa macho ya watu na kulinda ‘image’ yake inambidi akodi taksi […]

Read More..