-->

Daily Archives: July 28, 2016

Sitaki Tena Bongo Movie -Sinta

Post Image

Mkali wa zamani wa maigizo, Sinta ambae alitamba na skendo kibao kipindi hicho na unaambiwa yeye ndiyo wa kwanza kuwa na skendo kubwa Bongo,  amefunguka  na kueleza kwa sasa ana ishu gani mjini. Sinta ambaye alikuwa pia muigizaji mahiri anasema “Kwa sasa sitaki tena kujiingiza katika bongo move najishughulisha na biashara zangu binafsi na nipo […]

Read More..

Kajala Aenda Kumlilia Mumewe Gerezani!

Post Image

Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ hivi karibuni amekwenda kumlilia mumewe, Faraji Chambo anayetumikia kifungo cha miaka kumi na mbili gerezani. Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Kajala, mwanamama huyo alitinga kwenye Gereza la Ukonga, Dar alikofungwa mumewe ambapo alipata nafasi ya kumjulia hali kisha kumwaga machozi akimuonea […]

Read More..

Afande Sele Afungukia Sakata la Nay Kufungi...

Post Image

Msanii Afande Sele ameonyesha kutoridhishwa na kitendo cha msanii Nay wa Mitego kufungiwa kufanya kazi za sanaa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa muda usiojulikana mpaka atakapotimiza masharti aliyopewa na baraza hilo. Afande Sele kupitia ukurasa wake wa ‘Facebook’ amesema kuwa yeye anashangaa kuona adhabu hiyo anapewa Nay wa Mitego tu ilihali kuna wasanii […]

Read More..

Chid Benz Asimulia Baada ya Kumuona Diamond...

Post Image

Baada ya miezi kadhaa kutoka sober, Chid Benz jana ameachia ngoma yake mpya iitwayo Chuma aliyomshirikisha mkali wa ngoma ya Natafuta Kiki, Rayvany,kwenye kipindi cha XXL, amesimulia kwa mara ya kwanza kumuona Diamond akiwa maetoboa pua. Kama unakumbuka vizuri Diamond aliwahi kumuimba Chid Benz baada ya kutoboa pua kwenye ngoma aliyoimba na Nay Wa Mitego […]

Read More..