-->

Daily Archives: July 8, 2016

Bodi ya Filamu Yataka Wasanii Wasaidiwe

Post Image

Serikali imewataka wadau wa kazi za sanaa kuwasaidia wasanii wachanga katika kazi zao ili waweze kufanikiwa na kutangaza kazi zao kimataifa. Wito huo umetolewa na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bi.Joyce Fissoo jijini Dar es Salaam wakati akimkabidhi Bi Wakonta Kapunda Shilingi laki tano kwa ajili ya Safari ya kwenda Zanzibar kushiriki mashindano ya […]

Read More..

Mastaa Waliobadili Dini Kisa Ndoa, Watumbul...

Post Image

Baadhi ya wasanii wa filamu Bongo waliowahi kufanya uamuzi wa kubadili dini kutoka kwenye Ukristo kuingia kwenye Uislam ‘wametumbuliwa’ kufuatia mienendo yao isiyokubalika. Masupastaa hao wakiwemo Jacqueline Wolper, Rose Ndauka, Flora Mvungi, Aunt Ezekiel na Ester Kiama wametumbuliwa kutokana na kutoonesha jitihada zozote za kuijua vilivyo dini waliyoiendea. Akizungumza na Ijumaa, hivi karibuni, Shehe Mkuu […]

Read More..

Facebook Sasa Kutuma na Kupokea Fedha Bure

Post Image

Moja ya habari zilizoandikwa kwenye magazetini hii kwenye gazeti la Mtanzania yenye kichwa cha habari ‘Facebook sasa kutuma na kupokea fedha bure’ Gazeti hilo limeandika kuwa utandawazi unazidi kushika kasi ambapo kadri siku zinavyozidi kwenda mambo yanabadilika. Ndiyo maana sasa hivi kuna mambo mengi ambapo licha ya kuwa Tanzania mambo mengine yanachelewa kutufikia, lakini siku […]

Read More..

Nay wa Mitego Ahofia Kufungiwa Ngoma Hii

Post Image

Msanii Nay wa Mitego ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Saka hela’ ameonyesha wasiwasi na kuhofia wimbo wake mpya ambao utatoka siku ya Jumatatu ya tarehe 11 kufungiwa. Nay wa Mitego amesema wimbo huo ‘Pale kati patamu’ anaamini utachafua hali ya hewa tena kwa mashabiki kutokana na kile alichokiimba ndani ya wimbo huo, […]

Read More..

Afande Sele:Natamani Kuoa Tena

Post Image

Mwanamuziki mkongwe kwenye muziki wa bongo fleva Afande Sele amefunguka na kusema kwa sasa anajisikia kuoa tena baada ya muda mrefu kupita akiishi mwenyewe na kutofurahia maisha anayoishi kutokana na kukosa mke. Afande Sele siku kadhaa zilizopita alisema kuwa yupo na marafiki kadhaa wa kike ambao wanamsaidia kulea watoto wake, na kumfanya aishi akiwa na […]

Read More..

Uwoya: Sipendi Kudumu na Mpenzi Mmoja

Post Image

Staa wa filamu mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Irene Uwoya ametoa kali ya mwaka kwa kusema kuwa, huwa hana mzuka wa kudumu na mpenzi mmoja kwa muda mrefu akidai kuwa, wakizoeana sana inakuwa kero kwake. Akizungumza na gazeti hili juzikati, Uwoya alisema kuwa haoni sababu ya kukaa muda mrefu na mpenzi kwa sababu siyo baba […]

Read More..