-->

Daily Archives: July 30, 2016

Wema Sepetu: Niacheni jamani Nimechoka

Post Image

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ameonesha kuchoka na maneno mbalimbali kutoka kwa watu hususani kwenye mitandao ya kijamii kiasi cha kuamua kutoa yake ya moyoni kwa watu wote ambao wamekuwa wakimfuatilia maisha yake. Ameonesha kukasirishwa na baadhi ya watuwanaomsema kwenye mitandao ya kijamii hususani kuhusu mapungufu yake. Wema Sepetu ametumia mtandao wake wa Instagram […]

Read More..

Mama Diamond Anywea kwa Zari

Post Image

Imevuja! Baada ya muda mrefu kusambaa kwa habari kuwa mama wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’, ‘haivi’ na mwandani wa msanii huyo, Zarinnah Hassan ’Zari The Boss Lady’, imedaiwa kuwa kwa sasa bi mkubwa huyo amenywea kwa kumkubali Zari. Taarifa hizo zilizopenyezwa na chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya familia […]

Read More..