-->

Daily Archives: July 5, 2016

Mtitu Awachana Viongozi wa Shirikisho la Fi...

Post Image

DAIREKTA mwenye jina kubwa nchini, William Mtitu amefunguka kuwa kitu kinachoiangusha tasnia ya filamu Bongo ni uongozi wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), ambao umeshindwa kuwasimamia wasanii wake vizuri pamoja na kutengeneza mazingira mazuri ya kuwafanya wadau mbalimbali kuvutiwa na tasnia hiyo hata kuwekeza. Akichonga na gazeti hili, Mtitu aliongeza kuwa ili tasnia ya filamu […]

Read More..

Mrisho Mpoto Awafungukia Wakuu wa Wilaya Wa...

Post Image

MWANAMUZIKI wa nyimbo za asili, Mrisho Mpoto, amewaasa wakuu wa wilaya wawatumikie wananchi wao katika wilaya walizopangiwa  katika sherehe za kuapishwa Wakuu wa Wilaya wa Jiji la Dar es Salaam. Akiimba shairi la kuwaasa wakuu hao wa wilaya katika sherehe hiyo, alisema wanatakiwa watekeleze majukumu yao na si kujibweteka na kufanya mambo mengine yasiyo na […]

Read More..

Mr Blue Awakubali Diamond na Zari

Post Image

Mr Blue amesema Diamond na Zari ndiyo couple anayoikubali zaidi. “Ukinitoa mimi na Wahyda couple ambayo naipenda, naielewa ni Zari na Diamond,” Blue alikiambia kipindi cha The Playlist cha Times FM. “Yaani wanapendeza unajua eeh, na Mungu amewajaalia wamepata mtoto, wanashirikiana kama marafiki kwenye biashara, wanajua kucheza na akili za raia, wanaitengeneza couple yao ya […]

Read More..

20% Amerudi Tena Ndani ya ‘Kombinenga’,...

Post Image

  Mkali wa Bongo Fleva, 20%  siku ya jana alisaini mkataba chini la Label ya Kombinenga inayomilikiwa na mtayarishaji wa muziki Man Water kutoka katika studio za Combination Sound, 20% aliweza kusaini mkataba wa miaka mitano kufanya kazi chini ya Label hiyo, ambayo itakuwa ikimsimamia katika kazi zake. “Kwa upande wake 20% alisema kuwa sasa […]

Read More..

Iyobo Amtaka Aunt Ajichore Kama Shilole

Post Image

Dansa kutoka Wasafi Classic Baby (WCB), Moses Iyobo ‘Moze’ ambaye ni mzazi mwenza wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, amemwambia mpenzi wake huyo kuwa na yeye ajichore ‘tatuu’ ya jina lake kama ilivyokuwa kwa msanii Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kwa Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kabla ya kumwagana. Moze alimwambia hayo Aunt baada ya […]

Read More..