Daily Archives: February 16, 2017

Queen Darleen: Naumia Kuishi Bila Mpenzi

Post Image

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri akiwa chini ya Lebo ya ‘WCB’, ‘Queen Darleen’ amefunguka kuwa anaumizwa sana na hali ya kuishi bila mpenzi jambo ambalo limekuwa likimuumiza sana katika maisha yake ya sasa maana yeye pia anahitaji kupenda na kupendwa kama walivyo watu wengine. Akichonga na Showbiz Xtra, Queen Darleen alisema kuwa, tangu aachane na mzazi mwenziye […]

Read More..

TIGO: Bando lako #Halichachi

Post Image

Sasa unaweza kutumia dakika za maongezi, sms, na MB’s zako bila presha ya muda mpaka ziishe. Bando lako #Halichachi

Read More..

Niva Amepata Shavu la Kufanya Kazi na Msani...

Post Image

Msanii wa filamu Niva Super Mariyoo, amefunguka kwa kudai kuwa amepata mwaliko na msanii mkubwa wa Marekani kwajili ya kushiriki kwenye filamu yake. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Niva amedai ofa hiyo imemfanya arudi darasani kwajili ya kujifunza kuongea kingereza. “Mtegemee kumwona Niva kimataifa zaidi ndani ya mwaka huu kupitia kampuni mpya ya Barazani, tayari […]

Read More..

Masogange Apelekwa Kupimwa Utumiaji Madawa ...

Post Image

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu Dar es Salaam, Simon Sirro amesema mtuhumiwa Agness Gerald, maarufu Masogange amepelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa ajili ya kuchukua vipimo vya damu ili kubaini kama anatumia dawa za kulevya. Masogange ambaye ni mrembo maarufu anayetamba katika video za wasanii mbalimbali wa bongo fleva alikamatwa na polisi juzi. […]

Read More..

Haya Ndiyo Magari Anayopenda Mzee wa Upako

Post Image

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar es Salaam, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye anapenda sana magari na katika magari hayo yeye anapendelea zaidi magari makubwa makubwa. Akiongea kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa kwenye ukurasa wa facebook wa EATV, Mzee wa Upako alisema kuwa hapendi kabisa “vigari vidogo vidogo” na […]

Read More..

Yusufu Manji Afikishwa Mahakamani Kisutu,Ap...

Post Image

Dar es Salaam. Mfanyabiashara maarufu Yusufu Manji amepata dhamana baada ya kusomewa shtaka moja la kutumia dawa za kulevya aina ya heroine. Manji amesomewa shtaka hilo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya wakili wake Alex Mgongolwa kuiomba dhamana na Jamhuri kusema haina pingamizi kwani shtaka hilo linadhaminika. Hakimu Cyprian Mkeha amesema Manji atakuwa […]

Read More..