Daily Archives: February 14, 2017

Video: Joti Afunga Ndoa au Tangazo?

Post Image

Picha na video za msanii mchekeshaji, Joti akionekana amefunga ndoa siku ya leo. Ukweli wa kama ni ndoa ya kweli au ni moja ya kazi yake za matangazo ndiyo mjadala unaoendelea hadi sasa. Tazama video hii

Read More..

Zari the Bosslady: Uraia wa Nillan ni ̵...

Post Image

Kwenye mahojiano yake na Dizzim Online, mchumba huyo wa Diamond amesema pindi tu mtoto wake amezaliwa huko nchini Afrika Kusini, alipewa uraia wa nchi hiyo. “Yaani hiyo iki complicated because amezaliwa kule akapata immediate citizenship lakini vile amerudi nyumbani sasa hivi tutarudisha ile citizenship ya South Africa halafu atachukua ya Tanzania,” alisema Zari.

Read More..

Menina La Diva Ajifungua Mtoto wa Kiume

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva aliyewahi kushiriki shindano la kusaka vipaji maarufu la Bongo Star Search (BSS), Menina, amejifungua mtoto wa kiume Februari 9 wiki iliyopita na jina la mtoto huyo bado halijafahamika. Aidha Menina aliyewahi kutamba na wimbo wake wa ‘Dream Tonight’ alitoa taarifa hiyo kupitia mtandao wake wa Instagram ambapo mastaa wenzake wakaendela kwa […]

Read More..

Watu Wanataka Kiki Kwa Jina Langu- Shilole

Post Image

ZUWENA Mohamed ‘Shilole’ analalamika akidai kuwa kwa sababu yeye ni msanii nyota wa filamu na muziki kuna watu wanataki kiki kupitia jina lake hata hivyo amelitambua hilo na atakuwa makini sana kila anaposikia jambo atafikiria alijibu au lah kwani akifanya hivyo anawatangaza wanaojinufaisha na jina lake. “Mimi ni super star kuna watu wanatumia jina langu […]

Read More..

Mwanaume wa Hivi Hafai Kabisa – Shamsa Ford

Post Image

Msanii wa filamu nchini na mfanyabiashara Shamsa Ford amefunguka na kutoa somo kwa baadhi ya wanawake kuwa wakiona wapo kwenye mahusiano na mwanaume ambaye hajivunii uwepo wa mwanamke basi wajue wazi mtu huyo si wake bali atakuwa wa mtu mwingine. Shamsa Ford anasema mara nyingi wanawake wanapenda kuwa na mwanaume ambaye ana heshima na mapenzi ya […]

Read More..

VIDEO: Manji Akitoka Hospitali Aje Aripoti ...

Post Image

Dar es Salaam.Ofisi ya uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam imemtaka mmiliki wa Quality Plaza, Yusufu Manji kuripoti uhamiaji mara baada ya kutoka hospitali alikolazwa. Ofisa uhamiaji wa mkoa huo, John Msumule ametoa taarifa hiyo leo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. Amesema Manji anatakiwa kufanya hivyo kwa kudaiwa kuwa ameajiri watu wanaoishi nchini kinyume […]

Read More..

Pombe Ilivyoharibu Muziki wa Nuruel

Post Image

Msanii wa bongo fleva Nuruel amesema ajali ya mguu aliyoipata miaka kumi iliyopita akiwa amelewa imekuwa ikimpa maumivu makali sana hali ya kumfanya kushindwa kufanya muziki vizuri kwa sasa. Akiongea kupitia eNewz ya EATV, amesema “Mguu wangu wa kushoto ulivunjika hali iliyonipelekea kupata mawazo sana na nikaachana na maswala ya muziki hali iliyonifanya nipotee kimuziki hata hivyo […]

Read More..