Daily Archives: February 12, 2017

JPM Atema Cheche Waliofungwa kwa Dawa za Ku...

Post Image

Serikali imesema kamwe haitawatetea Watanzania wanaotumikia vifungo katika magereza mbalimbali nje ya nchi kutokana na kujihusisha na dawa za kulevya. Pia imesema itakachokifanya ni kuzishauri serikali za nchi husika kutekeleza hukumu dhidi ya Watanzania hao kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi husika. Msimamo huo wa serikali umetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano […]

Read More..

Manji Atoka Polisi kwa Gari la Wangonjwa

Post Image

Dar es Salaam. Mfanyabiashara Yusuf Manji ametolewa kwenye Kituo Kikuu cha Polisi muda mfupi uliopita na kupandishwa kwenye gari la wagonjwa ambalo lilipita Barabara ya Sokoine kuelekea Posta Mpya. Mwandishi wa Mwananchi alikuwa eneo hilo ameshuhudia Manji akipanda gari hilo la Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) lakini hawakufahamu mara moja alikoelekea. […]

Read More..

Ray C Afungukia Swala la Mahusiano Yake Kwa...

Post Image

Msanii Rehema Chalamila a.k.a Ray C ambaye ametamba kwenye anga la Bongo Fleva kwa siku nyingi, ameweka wazi kuwa kwa sasa hayuko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yeyote. Ray C ambaye amerejea kwenye game kwa kasi baada ya kutoka kwenye dimbwi ya matumizi ya dawa la kulevya, amefunguka hilo alipokuwa kwenye kipindi cha FNL […]

Read More..

40 ya Nillan: Wolper Achafua Hali ya Hewa, ...

Post Image

WAKATI sherehe ya kutimiza 40 kwa mtoto wa Diamond na Zari, Nillan ikiendelea, staa wa Bongo Movies, Jackline Wolper Massawe amekerwa na wanaomsema vibaya Zari na kuamhua kuwafungukia hadharani akitoa povu lake mbele ya wageni waalikwa MTAZAME HAPA

Read More..