Daily Archives: February 6, 2017

VIDEO: Tusifanye Siasa Kwenye Vita ya Madaw...

Post Image

Mbunge wa Bunda Mjini Mh. Ester Bulaya amefunguka na kutaka siasa isiingizwe kwenye vita ya madawa ya kulevya na kusema viongozi wasimdanganye Rais Magufuli ili kujihakikishia vyeo vyao au nafasi zao katika uongozi. Ester Bulaya ametoa rai hiyo leo bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa taarifa za kamati na kusema Rais anapaswa kuambiwa ukweli ili waweze […]

Read More..

Hatma ya Chege na Temba Sasa Hadharani

Post Image

Msanii kutoka TMK Wanaume Family, Chege Chigunda amesema yuko mbioni kukata kiu ya mashabiki wa ‘Chege na Temba’ kwani bada ya kutoa ngoma yake ya Kelele za Chura, ngoma inayofuata ni yake na swahiba wake Mh. Temba kutoka familia hiyohiyo ya Wanaume. Chege amelazimika kuweka wazi hatma ya Chge na Temba kutokana na kukumbana na […]

Read More..

Wema Sepetu Afunguka Haya Akiwa Bado Ameshu...

Post Image

Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia msani wa bongo movie, Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake. Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo […]

Read More..

Sakata la ‘Unga’: Makonda Ametoa Siku 1...

Post Image

LEO Jumatatu, Februari 6, 2016, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akiwa na Kamanda Sirro katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam amezungumza na wanahabari kuhusu oparesheni ya kusaka wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya kwa mkoa wake. Mambo  aliyoyasema Paul Makonda leo ni kutoa siku kumi kuanzia kesho February […]

Read More..

Rachel, Tunda Waungana na Akina Wema, TID P...

Post Image

Video Queen maarufu hapa Bongo, Tunda pamoja na msanii wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat  ‘Rachel’ wameripoti leo katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar kwa ajili ya kuhojiwa kuhusu tuhuma zinazowakabili za kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya. Tunda na Rachel wanaungana na wasanii wengine waliohojiwa na kushikiliwa kituoni hapo Ijumaa iliyopita ambao ni […]

Read More..

Rais Magufuli Azungumzia Swala la Madawa y...

Post Image

Rais John Magufuli ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwakamata wanaohusika na Dawa za Kulevya. Asema si kazi ya Makonda peke yake. Rais Magufuli amesema hakuna wa kuachwa hata akiwa mkewe Mama Janet Magufuli, na kuongeza kuwa wakamatwe bila ya kujali majina yao. Rais pia amempongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu kwa […]

Read More..

Mama Wema Sepetu Ashinda Polisi Kujua Hatim...

Post Image

Sakata la baadhi ya wasanii wakubwa nchini kuhusishwa na biashara ya dawa za kulevya limezidi kuchukua sura mpya, huku mzazi wa Wema Sepetu akishinda polisi kujua hatima mwanaye. Akiongea huku akiwa kama mtu aliyepatwa na hamaki mama mzazi wa Wema Sepetu, alisema kwa sasa anasubiri kauli ya Polisi ili aweze kujua kama mtoto wake atafikishwa […]

Read More..