Daily Archives: February 11, 2017

Picha ya Mtoto wa Diamond,Nillan

Post Image

KWA mara ya kwanza, Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnums ameianika sura ya mwanaye wa kiume, mdogo wake Tiffah aitwaye Nillan. Diamond na mpenzi wake Zari, wameiweka hadharani picha ya mtoto wao huyo ambaye leo Februari 11, 2017 anatimiza siku 40 tangu alipozaliwa nchini Afrika Kusini.

Read More..

Shamsa Ford Umetisha Mama, Mungu Atakulipa

Post Image

MWEZI Februari umeanza vibaya kwa mastaa kadhaa kwenye kiwanda cha burudani ndani ya Bongo. Najua mnafahamu wazi kile kilichotokea wiki iliyopita na kupelekea baadhi ya wasanii wa muziki na filamu kutupwa rumande, tuyaache hayo. Kilichofanya nitumie wino wangu kuyaandika haya unayoyasoma ni jinsi ukubwa wa tatizo la ukosefu wa ushirikiano linavyoitafuna tasnia ya burudani. Ukitaka […]

Read More..

Nilishakufa, Namshukuru Mungu-Ray C

Post Image

Msanii wa bongo fleva Ray C ambaye awali alikuwa mtumiaji wa madawa za kulevya amefunguka na kusema yeye alishakufa ila anamshukuru Mungu kwa wema wake na kumtoa katika janga hilo la dawa za kulevya. Ray C alisema hayo jana alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) na kusema leo hii yeye anasimama mstari wa […]

Read More..

TID Amtembelea Makonda Nyumbani, Afunguka H...

Post Image

Msanii wa kizazi kipya nchini TID ambaye siku kadhaa zilizopita alikuwa matatizoni akihusishwa na matumizi ya madawa ya kulevya, amefunguka na kusema muziki bila madawa ya kulevya inawezekana. TID ambaye leo amekutana na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda anasema kuwa amepata nafasi ya kukaa na kujadili na kiongozi huyo kuona […]

Read More..

Movie Trailer: ‘Gate Keeper’ ya...

Post Image

Kutoka Steps entertainment, Filamu ya GATE KEEPER inatarajiwa kuingia sokoni mwezi wa tatu mwaka huu. GATE KEEPER imechezwa na mastaa kibao katika tasnia ya bongo movie , kutana na Vincent Kigosi (Ray) Single Mtambalike (Richie), Kajala Masanja, Nicole Franklyin. Tazama Trailer ya Filamu hii hapa chini  

Read More..