Daily Archives: February 2, 2017

Movie Trailer: Tino Kuja na ‘Singo Zero’

Post Image

Staa mkongwe wa filamu hapa bongo, Tino anafungua mwaka kwa kuachia bonge moja la filamu lenye kila aina ya vitu, kuanzia mapigo na kisa kizito cha kusismua, ni filamu ya SINGO ZERO Kutoka Tino Muya Film, Steps Entertainment imeshasambaza filamu hii kwenye maduka yote nchi nzima. Tazama Trailer ya filamu hiyo

Read More..

Ben Pol Awaomba Radhi Mashabiki, Kisa Hiki ...

Post Image

Msanii Ben Pol ambaye siku kadhaa zilizopita alikuwa mbogo kwa mtangazaji wa kipindi cha eNewz ya EATV, baada ya kuulizwa maswali kuhusu familia yake hususani mwanamke aliyezaa naye pamoja na mtoto, msanii huyo ameomba radhi kwa kitendo hicho. Kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio Ben Pol amesema kuwa hakutegemea kufanya jambo hilo […]

Read More..

Familia Yakubali Barua Uchumba wa Wema, Man...

Post Image

DAR ES SALAAM: Hivi karibuni, msemaji wa Klabu ya Simba ya jijini hapa, Haji Manara alisema anataka kumchumbia Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu akijipa matumaini kwamba hawezi kukataliwa, lakini habari mpya ni kwamba, mwanaume mmoja aliyedai ni mjomba wa Wema, ameongea na Amani na kusema kuwa, anamshangaa Manara. Mjomba huyo alisema kuwa, anamshangaa Manara kwa […]

Read More..

Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Mkuu wa Maje...

Post Image

Rais John Magufuli amemteua Luteni Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini. Taarifa ya Ikulu iliyotolewa jana jioni inasema Mabeyo amechukua nafasi ya iliyoachwa wazi na Davis Mwamunyange ambaye amestaafu. Mbali na kuteuliwa kuwa Mkuu wa Majeshi, Mabeyo amepandishwa cheo kuwa Jenerali. Pia, Rais Magufuli amemteua Meja Generali James Mwakibolwa kuwa Mnadhimu […]

Read More..

Khadija Kopa Naye Sasa ‘Aisoma Namba’

Post Image

Msanii wa taarab Bongo, Khadija Kopa ni kama naye sasa ‘anaisoma namba’ baada ya kutoa kilio chake juu ya kupungukiwa na mapato yatokanayo na muziki na kutaja sababu mojawapo kuwa ni uamuzi wa serikali kuzuia matamasha ya muziki baada ya saa 6 usiku. Amesema hivi sasa yeye na wenzake wapo katika mpango wa kuongea na mkuu […]

Read More..

Yusuph Mlela na Chuchu Hans Ndani ya ‘...

Post Image

Wasanii wa Boongo Movies, Yusuph Mlela ‘Yusuph Mlela ‘Mlelandro’ na mrembo Chuchu Hans wakatikunikisha ndani ya Filamu ya Mr BodaBoba Msomi. Filamu ya Mr. Bodaboda Msomi ni filamu ya aida yake inayazungumzia maisha halisi ya biashara nzima ya boda boda yakiwepo matukioa ya uhalifu na mapenzi ndani. Kutoka Steps Entertainment, Filamu hii itaingia sokoni muda si […]

Read More..

Video: Harmorapa Aonyesha Mahela Mtandaoni

Post Image

Msanii wa muziki wa hip hop Harmorapa akiwa bado anaendelea kutrendi katika mitandao ya kijamii, amekuja na mpya kwa kuonyesha mabunda ya hela mtandaoni. Rapper huyo ambaye anafananishwa na msanii kutoka kundi la WCB Rajab Abdulhan ‘Harmonize’, Jumatano hii zimesambaa picha mtandaoni akionyesha kinachompatia jeuri. Kwa habari ambazo bado hazijathibitika zinadai kuwa rapa huyo yupo […]

Read More..

Chidi Mapenzi Aeleza Ilipo Gari Alilomnunu...

Post Image

Mume wa msanii wa bongo movie Shamsa Ford anayejulikana kwa jina la Chidi Mapenzi amesema gari alilomuahidi  mke wake  limeshafika likimiwa limeingilia badari ya  Zanzibar na kichafanyika sasa niki Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Chidi amesema “lile ni gari ambalo alijisikia na alilipenda akaamua kumnunulia mke wake, pesa ya kulilipia anayo lakini kinachoshindikana ni namna ya kulitoa bandarini […]

Read More..

Video: Mzee Wa Upako Anthony Lusekelo Ahubi...

Post Image

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar es salaam, Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ ametrendi mtandaoni wiki hii baaada ya kusambaa kwa video inayomwonyesha akiwaubiria watumishi wa kanisa lake kwa kutunia wimbo ‘Muziki’ wa Darassa. Mchungaji huyo amedai ameamua kubadilisha namna ya kuubiri kwa kuwa dunia inaenda kila siku ikibadilika. “Lazima ujue huku […]

Read More..

Video: RC Makonda Awataja Wema, TID, Askari...

Post Image

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataja Askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wasanii maarufu hapa nchini wanaotuhumiwa kuhusika na mtandao wa biashara haramu ya madawa ya kulevya. Makonda amewataja askari hao wakati akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam. RC Makonda amewataja wanaotuhumiwa kutumiwa dawa za […]

Read More..