Daily Archives: February 27, 2017

Ray Kurudi na Nguvu Mpya Kwenye ‘Bong...

Post Image

Msanii filamu Bongo Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka na kuwaomba mashabiki zake kuwa tayari kuipokea kazi yake mpya ya ‘Gate Keeper’ ambayo ina utofauti mkubwa katika kazi zake alizowahi kuzifanya hapo awali. “Filamu yangu mpya itakuwa ya tofauti sana na itahusisha mastaa wengi kama Single Mtambalike ambaye amecheza kama Professa, Kajala Masanja aliyecheza kama mwananfunzi wa chuo kikuu, Baba […]

Read More..

Wema Sepetu Afunguka Anachokipenda Kwenye S...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ambaye wiki iliyopita amekihama chama chake cha muda CCM na kuingia CHADEMA amefunguka na kusema kuwa anaipenda sana siasa na siku akifanikiwa katika siasa atafurahi sana kwa kuwa ni kitu anachokipenda sana. Wema Sepetu kupitia account yake ya Twitter amesema ameamua kuhama CCM na kuingia CHADEMA ili kupigania uhuru pamoja […]

Read More..

Lulu Diva Amfungukia Barnaba

Post Image

ZIKIWA zimepita wiki kadhaa tangu msanii wa Bongo Fleva, Barnabas Elius kudaiwa kutengana na mzazi mwenziye, msanii wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amemfungukia kuwa, ishu hiyo alipoisikia ilimshtua sana. Akichonga machache na Over Ze Weekend, Lulu Diva anayetamba kwa sasa na Ngoma ya Usimwache iliyofanyika MJ Records chini ya Daxo Chali alisema, amekuwa […]

Read More..

Shamsa Amfungukia Haya Gabo Zigamba

Post Image

Msanii Shamsa Ford ameweka wazi hisia za moyo wake kwa Gabo Zigamba kuwa ndiyo mwanaume pekee anayemkubali pindi wanapokuwa pamoja katika kazi za filamu na kuhisi kila wanachokifanya ni ukweli na uhalisia. Shamsa amebainisha hayo kupitia moja ya mtandao  kijamii anaoumiliki kwa kuweka picha inayowaonesha wawili hao wakiwa mbali kihisia huku ikiwa imebebwa na ujumbe […]

Read More..

Mzee Chillo Alia na Wataalamu wa Afya Muhim...

Post Image

MSANII nguli wa Filamu za Kibongo, Ahmed Olotu, ‘Mzee Chillo’ jana aliwafungukia baadhi ya wataalamu wa afya wa Chuo Kikuu cha Muhimbili (University of Health and Allied Sciences), jijini Dar, kuachana na mambo ya rushwa ili kuwafanya wananchi kuwa na imani nao. Mzee Chillo alisema hayo kwenye Warsha ya  Kilangi For Youth Academic Social Premier, […]

Read More..

VIDEO:Lukuvi Kumchukulia Hatua Aliyempa Mak...

Post Image

Dar es Salaam. Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amesema atamchukulia hatua mfanyabiashara aliyemkabidhi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda eneo kwa ajili ya viwanda kwa sababu eneo hilo si lake ni mali ya Serikali. “Sitaki ardhi itumike kama sehemu ya wafanyabiashara kutakatishia fedha zao chafu,”amesema Lukuvi leo (Jumatatu) katika mkutano na waandishi […]

Read More..