-->

Daily Archives: February 26, 2017

Filamu ya Gate Keeper Kuzinduliwa Suncrest ...

Post Image

MTAYARISHAJI na muongozaji mahiri katika tasnia ya filamu Swahilihood Vincent Kigosi kupitia kampuni yake ya R J kwa kushirikiana na Steps Entertainment Ltd itarajia kuzindua filamu kali na ya kusisimua ya Gate Keeper katika ukumbi wa Suncrest Cinema uliopo Mwalim Nyerere. Sinema hiyo itazinduliwa tarehe 3.3. 2017 huku ikiambatana na matukio makubwa kama vile Red […]

Read More..

VIDEO: Irene Uwoya Ataja Kilichomkosesha Ub...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amefafanua sababu za kutopitishwa na chama chake cha CCM kuwa mbunge wa Viti Maalum vya wanawake, na kusema kuwa kilichomuangusha ilikuwa ni kura za Rais kuwa chache. Uwoya alikuwa akijibu maswali ya wapenzi na mashabiki zake LIVE kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV, ambapo swali la kwanza kabisa kuulizwa, […]

Read More..

Nimezaliwa Upya, Subirini Cheche!-TID

Post Image

VITA vya dawa za kulevya imeshika kasi huku tukiona wasanii wakizungumziwa kutokana na kujihusisha na matumizi ya dawa hizo. Matumizi ya dawa za kulevya yamechangia kwa kiasi kikubwa kuharibu ndoto za watumiaji. Watumiaji katika jamii ni wengi huku sanaa ikiwa ni moja ya wahanga wakubwa wa tatizo hilo. Ni rahisi kuwatambua wasanii wanaojiusicha na matumizi […]

Read More..

Shamsa: Nilijua Matatizo yatamkuta mume wan...

Post Image

SIKU chache baada ya mumewe, Chid Mapenzi kupata msala wa madawa ya kulevya na kuswekwa Kituo Kikuu cha Polisi (Sentro), Muigizaji Shamsa Ford amesema kamwe haiwezi kutokea akamuacha mumewe kwani tangu awali, alijua siku moja mumewe anaweza kupata matatizo kama hayo. Muigizaji huyo alisema tayari mitandaoni kumeshaanza kuenea uvumi kuwa huenda akamuacha mumewe kutokana na […]

Read More..

Rais Magufuli Asema Epa ni Ukoloni Mwingine

Post Image

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemweleza Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kwamba Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi na Jumuiya ya Ulaya (EPA) ni aina mpya ya ukoloni utakaoua maendeleo ya viwanda katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Siku ya mwisho ya kusaini mkataba huo ilikuwa Oktoba mosi mwaka jana, lakini katika kikao […]

Read More..