Jay Moe: Nilipata Aibu Kwa Bill Nas
RAPA aliyewahi kutamba na wimbo wa ‘Mvua na Jua’, Juma Mchopanga (Jay Moe), amesema licha ya kutamani kufanyakazi na rapa wa wimbo wa ‘Sitaki Mazoea’, William Lyimo (Bill Nas), hatasahau alivyomdharau kabla ya kusikiliza na kuona video zake. Jay Moe alisema kabla ya kumwona, kusikiliza na kutazama video zake hakuwa akijua uwezo mkubwa alionao rapa […]
Read More..





