-->

Daily Archives: April 9, 2017

TID Afichua Rushwa Inavyowatafuna Wasanii

Post Image

Mzee Kigogo ‘Mnyama TID’ amedai kuchukizwa na baadhi ya wadau wa muziki wanaowadai wasanii pesa ndipo ngoma zao ziweze kupenya kwenye masikio ya mashabiki kitu ambacho kinachangia kupotea kwa vipaji vingi mtaani. Akiwa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio TID alidai wasanii wananyonywa na wadau wanaoshughulika kusukuma muzilki hali amabayo inawafanya wasanii wengi kutenga […]

Read More..

Maalim Seif: Hakuna CUF ya Maalim wala CUF ...

Post Image

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema chama hicho kitaendelea kufanya mambo kiungwana kwa kuwa Tanzania ni nchi ya amani na kuwa hakuna CUF ya Maalim Seif wala CUF ya Lipumba.   Akizungumza na waandishi wa habari leo, Maalim Seif alisema CUF inatimiza wajibu wa kutunza amani na iwapo kingetaka […]

Read More..

Nape Nnauye Asimulia Maneno Haya Aliyoambiw...

Post Image

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye leo April 9 2017 amekutana na wazee wa jimbo la Mtama na kuzungumza nao. Kati ya vitu amezungumza ni pamoja na kusimulia kipindi alipoteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Masasi na Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete.   Millardayo

Read More..

Nuh Mziwanda Afungukia Kilichomkutanisha na...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Nuh Mziwanda amesema Shilole ni msanii mwenzake na walivyoenda Zanzibar hawakuwa pamoja kila mtu alikuwa ameenda kwa kazi yake. Akipiga story kupitia eNewz ya EATV Nuh Mziwanda amesema hata kama akiamua kutoka nje ya ndoa siyo lazima atoke na Shilole kwakuwa wanawake ni wengi na anapokuwa  kwenye show huwa anakutana na wanawake wengi hivyo […]

Read More..