-->

Daily Archives: April 13, 2017

VIDEO:Sina Mpinzani Kwenye Game-Chemical

Post Image

Rapa wa kike bongo anayesumbua na ngoma ya ‘Queen of Dar es salaam, Chemical amejinadi kuwa hakuna rapa wa kike aliyepo kwenye game mwenye uwezo wa kushindana naye kwa upande wa kuandika mashairi. Chemical amefunguka hayo kwenye eNewz ya EATV leo na kudai kuwa anaamini yeye ni bora katika ‘game’ hivyo watu wasipende kumfananisha na watoto […]

Read More..

Polisi Wadaiwa Kuuawa kwa Risasi Kibiti

Post Image

Ikwiriri. Polisi saba waliokuwa doria katika Kijiji cha Jaribu mpakani mwa wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani, wanadaiwa kuuawa usiku huu kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika. Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo, lakini akasema taarifa zaidi zitatolewa na kamanda wa polisi wa Mkoa wa Pwani. Taarifa […]

Read More..

Nisha na Majanga ya Kuvunjiwa Duka Lake

Post Image

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuhusu duka lake la nguo lililopo Sinza Makaburini, Dar kuvunjwa huku wengine wakihisi kavunjiwa kwa sababu za bomoabomoa jambo ambalo mwenyewe amesema si la kweli bali anafanya ukarabati. Kuvunjwa kwa duka la Nisha kulizua sintofahamu kwa mashabiki wake hivi karibuni, jambo ambalo Show Biz Xtra ilimtafuta […]

Read More..

VIDEO: Alichokisema Rose Ndauka Kuhusu Mada...

Post Image

Staa mrembo kutoka Bongo Movie, Rose Ndauka amelifungukia swala na madai ya kuwa bongo movie imekufa kwa kueleza kuwa bongo movie haijafa kwa sababu wapo wasanii wanafanya kazi nzuri na kuwa  tatizo jamaii haitaki kuwapokea wasanii wapya. Akiongea na Ayo TV Entertainment, Rose Ndauka  alifun guka kuwa  anayesema Bongomovie imekufa anasambaza habari za upotoshaji tu kwa […]

Read More..

Rais Magufuli Ampigia Simu MwanaFA na Kumpo...

Post Image

Rais Dkt John Joseph Pombe Magufuli ni shabiki wa muziki wa Hamis Mwinyijuma maarufu kwa jina la MwanaFA, hilo limewekwa wazi na msanii mwenyewe. Rais Magufuli ameamua kuweka hisia zake hizo wazi kwa kumpigia simu msanii huyo wa Bongo Fleva na kumfikishia ujumbe kuwa yeye ni msikilizaji mzuri wa wimbo wake wa Dume Suruali. Katika […]

Read More..

VIDEO:Upendo Nkone Ataja Sababu ya Kutumia ...

Post Image

Msanii wa Injili nchini Upendo Nkone amekiri kuwa ni kweli alikuwa anatumia mkorogoro (anajichubua ngozi) lakini hivi sasa ameacha kufanya hivyo baada ya mashabiki wake kumjia juu na kutaka aachane na mambo hayo ya kujichubua. Upendo Nkone amesema hayo kupitia kipindi cha Kikaangoni kinachofanyika kupitia ukurasa wa facebook wa EATV kila siku ya Jumatano kuanzia […]

Read More..