-->

Daily Archives: April 14, 2017

Tunda: Marafiki Wasiofaa, Utoto Vilinihari...

Post Image

KABLA ya Video Queen Tunda Sabasita kukamatwa na polisi kwa soo la kutumia madawa ya kulevya kisha kufi kishwa mahakamani akiwa na mastaa wengine, alikuwa gumzo kutokana na matanuzi aliyokuwa akiyafanya kwenye mahoteli makubwa kisha kutupia picha kwenye mitandao.   Wengi walihoji kama kweli ni sanaa tu ambayo inamuweka mjini au kuna madili mengine lakini […]

Read More..

Bonge la Nyau Aanika Mahusiano Yake na Shil...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Bonge La Nyau amesema hana mahusiano ya kimapenzi na Shilole japo watu wamekuwa wakiwaona karibu kiasi cha kuzusha kwamba wawili hao ni wapenzi. Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Bonge la Nyau amesema kwa sasa yeye ana mpenzi wake ambaye wamejaliwa kupata mtoto mmoja hivyo watu wanaposema yeye na Shilole wapo karibu sana ni […]

Read More..

New Video: Young Killer & Stamina ...

Post Image

Wasanii wa muziki wa hip hop Young Killer Msodoki, Billnass pamoja na Stamina wameachia video ya wimbo wao mpya wa pamoja uitwao ‘Aje Mwenyewe’. Video imeandaliwa na director Lucca kutoka kampuni ya Swahili na audio imeandaliwa na Kiri Rec.

Read More..

Wema Sepetu Ataka Mashabiki Waheshimiwe

Post Image

STAA wa filamu nchini na Miss Tanzania mwaka 2006, amesema ni upuuzi kwa msanii kutomheshimu shabiki wake kwa kuwa bila huyo hawezi kuwa msanii. Wema alisema kwa kuwa msanii ni kioo cha jamii, hivyo hatakiwi kutoheshimu mashabiki wake kwa kuwa hao ndiyo wanaomsaidia kisanii. “Kuna baadhi ya wasanii wanatumia majina yao vibaya, ukiwa staa unatakiwa […]

Read More..

Waziri Nchemba Awasili Eneo Yalipotokea Mau...

Post Image

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amewasili eneo yalipotokea mauaji ya askari wanane katika kijiji cha Jaribu, Wilayani Kibiti. Waziri Nchemba ameambatana na naibu wa wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni. Nchemba atatembelea kambi za askari polisi wa kanda ya Pwani na katika kata ya Bungu wilayani Kibiti. Mwananchi

Read More..

PICHAZ: Diamond Anunua Hammer Sauzi

Post Image

STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul maarufu Diamond Platnumz ameonyesha gari lake jipya aina ya Hammer alilolinunua kwa ajili ya shughuli zake akiwa nchini Afrika Kusini. Diamond na familia yake (mama watoto wake na watoto wawili) wanaishi nchini Afrika Kusini. Kupitia Instagram yake amepost picha za gari hilo na kuziwekea caption inayosema: @zarithebosslady kidogo changu […]

Read More..

VIDEO:Kutumia Ushirikina ni Sawa – Sa...

Post Image

Msanii Sam wa Ukweli ambaye hivi sasa anafanya vyema na wimbo wake wa ‘Kisiki’ amefunguka na kusema ushirikina kama ukiutumia vyema kwa ajili ya mambo yako ya faida kama kazi zako au ya kimaendeleo ni sawa. Sam wa Ukweli amesema hayo jana alipokuwa kwenye kipindi cha 5Selekt na kusema kama una utumia vyema uchawi kwa […]

Read More..