-->

Daily Archives: April 22, 2017

Harmorapa:Sijawahi Kuachwa na Mwanamke

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Harmorapa amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake hajawahi kabisa kuachwa na mwanamke bali yeye ndiye huwa anawaacha hivyo hajui suala la maumivu ya mapenzi. Harmorapa alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Kikaangoni kinachorushwa kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV, na kudai yeye hajui maumivu ya mapenzi kwa kuwa […]

Read More..

Bongo Movie Tengenezeni Sababu ya Filamu Ze...

Post Image

UNAWEZA kumpeleka ng’ombe mtoni kwa kutumia nguvu nyingi, ila ukashindwa kutumia nguvu hiyo hiyo kumfanya anywe maji ya mto, kwa kuwa uamuzi wa kunywa au kutokunywa ni wake. Mapema wiki hii jijini Dar es Salaam baadhi ya wasanii wa filamu walifanya maandamano ya kupinga uuzwaji wa filamu za nje zisizofuata utaratibu kwa kile walichodai zinashusha […]

Read More..

Flora Mbasha Kuolewa Jumapili Ijayo

Post Image

MWIMBAJI nyota wa muziki wa Injili nchini, Madame Flora (Flora Mbasha zamani), Jumapili ya wiki ijayo anatarajia kufunga ndoa na mume wake mtarajiwa Daudi Kusekwa katika bustani za hoteli ya Rock Beach jijini Mwanza. Madame Flora ameliambia Swaggaz kuwa ndoa hiyo itaambatana na uzinduzi wa albamu yake mpya inayoitwa Wakati Wake pamoja na kitabu alichokipachika […]

Read More..

Waziri Mwakyembe Akutana na Uongozi wa Simb...

Post Image

Waziri wa Habari,Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu ya Simba nchini. Waziri Mwakyembe ameonana na uongozi huo ofisi kwake mjini Dodoma, Ukiongozwa na Rais wa klabu hiyo, Evans Maveva ambapo uongozi huo umetii wito wa Mheshimiwa Mwakyembe, ili kujadili mambo mbalimbali yanayohusu mpira wa miguu, zikiwemo fursa na […]

Read More..

Quickrocka: Kajala Hajawahi Kuwa Mpenzi Wan...

Post Image

Rapa Quickrocka ambaye jana ameachia ngoma yake mpya ‘Down’ akiwa amemshirikisha msanii Mimi Mars amefunguka na kusema yeye alikuwa hatoki kimapenzi na Kajala na kusema hizo stori zilikuwa ni uongo. uickrocka alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live na kusema hizo habari zilikuwa ni uongo hivyo hakuwa anatoka kimapenzi na msanii huyo wa […]

Read More..