-->

Daily Archives: April 26, 2017

Ne-Yo Ampongeza Diamond

Post Image

MKALI wa muziki wa RnB nchini Marekani, Shaffer Smith (NE-YO) amempongeza staa wa muziki nchini Tanzania, Nasibu Abdul (Diamond) kwa kuzindua manukato yake yajulikanayo kama Chibu. Ne-Yo, aliyeshirikishwa na Diamond kwenye wimbo wa ‘Marry You’, ameshindwa kuzuia hisia zake na kumpa pongezi msanii huyo kwa hatua aliyofikia ya kuwa na manukato yake, kama ilivyo kwa […]

Read More..

Sina Tatizo na Wema Sepetu wala Mama Yake &...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Steve Nyerere amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye na Wema Sepetu hawana tatizo lolote na kudai yule ni dada yake hivyo wanaheshimiana na kuendelea kuishi kama zamani licha ya Wema Sepetu kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM). Steve Nyerere amesema hayo kwenye kipindi cha eNewz na kusema ni kweli kulikuwa na matatizo […]

Read More..

NDANI YA BOKSI: Mnalazimisha Kuuza Kitimoto...

Post Image

Kuna kitu kinaendelea Dar es Salaam kwa sasa. Ukikifikiria sana unaweza kulia. Vituko vya Harmorapa vina tija na mvuto kuliko haya ya Bongo Movie. Yaani ni filamu tosha inatengenezwa. Bongo Movie wanachofanya ni kuliua zaidi soko la filamu zao. Pamoja na kelele za wadau mbalimbali hawasikii la muadhini wala mnadi swala. Wameweka pamba sikioni na […]

Read More..

Thea:Tunatetea Haki Yetu

Post Image

MSANII wa filamu za Kibongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ ameibuka na kuwabeza watu wanaowaponda waigizaji kwa kitendo chao cha kuandamana kupinga uuzwaji holela wa sinema za nje kwa kuwaambia waendelee kutukana kwani wao walifanya hivyo ili kutetea haki yao. Akipiga stori na Za Motomoto News, Thea alisema wao walifanya hivyo kwa kuona inafaa, sasa kama kuna […]

Read More..

Simfahamu Nay wa Mitego – JB

Post Image

Msanii Jacob Steven  JB’ amedai kutomfahamu Nay wa Mitego na kusema pamoja na kusikia sehemu mbali mbali za maneno ya kashfa kutoka kwa msanii huyo yeye bado anampenda japokuwa hamjui na wala hajawahi kusikiliza nyimbo zake. Akilijibu swali la Mtangazaji wa eNewz Duwe Santana kuhusu jinsi alivyopokea kauli ya wasanii waliondamana kuitwa ‘Matahira’ JB amesema […]

Read More..