-->

Daily Archives: August 18, 2017

Mr Nice: Kenya Wananipenda, Tanzania Hawani...

Post Image

MWANAMUZIKI wa miondoko maarufu kwa jina la Tanzania, Kenya na Uganda (Takeu), ambaye alijizolea umaarufu miaka ya 2000 na baadaye kupotea kidogo kutokana na sababu za hapa na pale, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ amesema kuwa anaamini kuna baadhi ya Watanzania wenzake hawampendi. Mwanamuziki huyo ambaye kwa sasa amerejea upya katika gemu, amefunguka mambo mengi katika makala haya: […]

Read More..

Snura Atoa Neno kwa Kichuya wa Simba

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva, Snura Mushi ambaye ni shabiki wa Simba, ameutazama mchezo wa Ngao ya Jamii Agosti 23 na kumtaka straika wao, Shiza Kichuya, kupambana na kuhakikisha anaitungua Yanga dakika za mwanzo. Snura amekuwa akivutiwa na straika huyo tangu alipotua Simba na kuahidi kumsapoti kila wakati timu hizo zitakapokutana. Akizungumza na MTANZANIA, Snura amemtaka […]

Read More..

VIDEO:Furaha Zatawala Mapokezi ya wanafunzi...

Post Image

Kilimanjaro. Furaha imetawala ujio wa watoto watatu wa Shule ya Lucky Vicent waliowasili leo Ijumaa, Agosti 18 wakitokea nchini Marekani kwenye matibabu baada ya kupata ajali Mei mwaka huu. Wazazi na ndugu waliruhusiwa kuingia ndani ya ndege hiyo kuwapokea watoto wao ambao wamepata nafuu kwa kiasi kikubwa. Wilson Tarimo alikuwa wa kwanza kushuka katika ndege […]

Read More..

Mzee Majuto Aanika Mafanikio Aliyoyapata kw...

Post Image

Msanii wa vichekesho Mzee Majuto amefunguka na kusema sanaa imembadilisha maisha na kudai ameweza kujenga nyumba kubwa tatu, ameweza kununua magari matano pamoja na kumiliki shamba lenye ukubwa wa ekari tano. Mzee Majuto amedai kuwa ameanza kufanikiwa katika sanaa baada ua kuanza kujitegemea mwenyewe kwenye kazi zake, hivyo amedai kwa mafanikio ambayo amepata sasa inatosha […]

Read More..

Uamuzi pingamizi kesi ya Wema kutolewa Agos...

Post Image

Dar es Salaam. Uamuzi wa kupokea au kutopokea kielelezo cha ushahidi cha msokoto mmoja wa bangi na vipisi viwili vya bangi katika kesi inayomkabili mlimbwende wa Tanzania 2006, Wema Sepetu utatolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mwisho wa mwezi huu. Hakimu Mkazi Mkuu,Thomas Simba amesema uamuzi huo ulipaswa autoe leo, lakini bado kuna tafiti […]

Read More..

Nay wa Mitego Afungukia Bifu Lake na Roma

Post Image

HIT MAKER wa ngoma inayobamba kwa sasa Acheze, Emmanuel Elibariki ‘Nay Wa Mitego’, amesema aliumizwa sana na maneno ya rapa mwenziye, Roma Mkatoliki, aliyeongea maneno ya kumkashifu mara baada ya kuibuka baada ya kutekwa kwake, miezi michache iliyopita. NAY WA MITEGO AFUNGUKA… “Roma anatakiwa ajue kwamba mimi ni mmoja kati ya wasanii ambao walishinda kutwa […]

Read More..