-->

Daily Archives: August 20, 2017

Casso Afunguka Tattoo ya Rose Ndauka

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva, Casso ambaye yupo chini ya lebo ya Ndauka Music inayomilikiwa na mwigizaji, Rose Ndauka amesema sababu zilizofanya achore tattoo yenye jina la mrembo huyo kwenye mkono wake wa kulia ni mapenzi aliyonayo kwa bosi. Casso ameliambia Show Biz kuwa Rose Ndauka ana roho ya kipekee na ni rafiki ambaye Mungu amemleta […]

Read More..

Steve Nyerere: Siku Nikifa, Wataomba Msamah...

Post Image

Msanii wa filamu Tanzania Steve Nyerere ambaye pia ni mwanachama maarufu wa Chama cha Mapinduzi, amefunguka ya moyoni juu ya watu wake wa karibu, huku akisema siku akifa hawataamini na huenda ikawa wameshachelewa kuyafanya ya muhimu ju yake. Kwenye ukurasa wake wa Instagram Steve Nyerere ameweka post huku akiweka picha za watu mbali mbali maarufu […]

Read More..

Ray C Mpya Afunguka Yote Hapa

Post Image

MSANII ambaye miaka kadhaa iliyopita alipotea kwenye anga la muziki baada ya kujitumbukiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, hivi karibuni alifanya mahojiano na MWANASPOTI baada ya kurudi kwenye ‘game’ la muziki na kusema haya yafuatayo: BADO WAMO Ray C ambaye kutokana na na kukatika, alipewa jina la ‘Kiuno Bila Mfupa’ […]

Read More..

JB Ajiweka Pembeni, Aanzisha Barazani Enter...

Post Image

MSANII mkongwe wa filamu nchini, Jacob Steven ‘JB’ ametangaza kujiengua katika uigizaji na sasa ameanzisha Taasisi ya Barazani Entertainment ili kulinda heshima yake. Katika mahojiano maalum katikati ya wiki hii, JB ambaye anachukuliwa kama mmoja wa waigizaji mahiri kuwahi kutokea, hajaondoka moja kwa moja katika filamu bali amebadili nafasi na sasa atakuwa msambazaji. “Nimeshakuwa muigizaji […]

Read More..

Nimepata Pakufia- Shilole

Post Image

Msanii Shilole ‘Shishi Trump’ amefunguka kwa kudai yupo katika maandalizi yake ya mwisho ya kuolewa huku akiwasisitizia mashabiki zake kuwa safari hii hakuna maneno mengi kama zamani kwa kuwa amepata haja ya moyo wake. Shilole amebainisha hayo baada ya baadhi ya mashabiki zake kutomuamini kwa kauli zake kwa kuwa mara nyingi ameonekana kuwa mwenye ‘drama’ […]

Read More..