-->

Daily Archives: August 23, 2017

Nilipigwa Sana Mawe – Mr. Blue

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mr. Blue ametoa siri inayomfanya afanikiwe kufanya vizuri kwenye ‘game’ ya bongo fleva tangu aanze akiwa mdogo na kusema kuwa haikuwa rahisi kwake wakati anaanza kwani wengi walimtupia maneno yenye madongo ndani yake. Akizungumza na mwandishi wa East Africa Radio, Mr. Blue amesema kipindi anaanza kutengeneza ‘brand’ yake kama […]

Read More..

Dimpoz amwaga ugali ishu ya ‘Malkia wa Ng...

Post Image

Wiki hii rapa, Fid Q kaachia wimbo wake mpya ‘Fresh’ akiwa amemshirikisha Diamond pamoja na Rayvanny ambao umeibua mgongano mkubwa wa mawazo kupitia mitandao ya kijamii kutokana na mistari ya Diamond ambayo ilidaiwa kwenda kwa Alikiba. Mkali huyo wa Aje alishindwa kuvumilia baadhi ya vitu vilivyozungumzwa katika wimbo huo na kuamua kunyesha mvua ya tweets […]

Read More..

Wema Sepetu Asaka Mtu Wakutoka Naye

Post Image

Msanii wa filamu wa kike bongo Wema Sepetu ambaye wengi humtaja kuwa msanii mwenye nyota ya kupendwa na mashabiki, amefunguka kuwa anasaka mtu atakaye toka naye usiku wa uzinduzi wa filamu yake.   Kwenye ukurasa wake wa Instagram Wema Sepetu amendika ujumbe wa kumtafuta mtu huyo atakayekuwa naye usiku huo, kwani akisema raha ya tukio […]

Read More..

Uwoya: Huu Ndiyo Ukweli wa Mimi na Ndiku

Post Image

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya aliyekuwa mume wa ndoa wa muigizaji nyota, Irene Uwoya aitwaye Hamad Ndikumana kutema povu kubwa katika mitandao ya kijamii, akimsema vibaya mzazi mwenzake huyo, mrembo huyo naye ameibuka na kuanika kile alichodai, ni ukweli kuhusu wawili hao, Risasi Mchanganyiko linaripoti. HUYU HAPA IRENE UWOYA Risasi Mchanganyiko lilifanya jitihada […]

Read More..

Magazeti ya Leo Jumatano, August 23

Post Image

CHANZO:millardayo.com

Read More..