Exclusive: Maskini Jini Kabula! Ukimsikia U...
Ikiwa ni takriban miezi miwili na siku kadhaa tangu kuzagaa kwa ishu za kuugua ugonjwa wa afya ya akili ukiambatana na kuchanganyikiwa kwa mwigizaji wa sinema za Kibongo, hasa kupitia Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, hatimaye ameibuka na kunena mambo mazito yenye kuumiza juu ya sakata hilo. Miongoni mwa mambo anayodai kutendewa, Kabula alisema kuwa, […]
Read More..





