-->

Daily Archives: September 15, 2017

Chuchu Hans: Naanza Kumwandaa Jaden Kuwa St...

Post Image

STAA wa Filamu za Bongo, Chuchu Hans, amesema kuwa atafanya kazi kwa bidii kuhakikisha anamwandaa mtoto wake wa kiume kuwa staa wa baadaye. Msanii huyo pamoja na Vicent Kigosi ‘Ray’ walifanikiwa kupata mtoto wa kiume mapema mwaka huu, ambaye amepewa jina la Jaden. Akizungumza na MTANZANIA jana, Chuchu alisema Jaden si wa kwanza, hivyo ili […]

Read More..

Masogange: Natamani Kuwa Mchungaji

Post Image

UKITAJIWA jina la Agness Jerald na kuambiwa ni muuza nyago kwenye video za Kibongo kidogo unaweza kubishana na mimi lakini ukitajiwa jina la Masogange bila hata kubisha utaanza kuorodhesha video zake alizoshiriki ikiwemo Masogange ya Belle9 pamoja na Msambinungwa ya Tundaman akiwa na Alikiba.   Masogange ni mmoja wa modo wasiokauka kwenye midomo ya wanaburudani […]

Read More..

Asikuambie mtu, ndoa tamu jamani-Meya

Post Image

MWIGIZAJI na mchekeshaji wa Filamu Bongo, Meya Shaabani amesema kabla ya kuingia katika ndoa aliichukulia poa, lakini kwa sasa anaona utamu wake na kumfanya afurahie maisha. Meya alisema maisha anayoishi kwa sasa ni ya furaha na amani tofauti na enzi za uselana hiyo imetokana na kuoa mke anayefanana naye na kupendana kila siku upendo ukitawala […]

Read More..

Wolper Afunguka Kama Akitendwa na Mpenzi Wa...

Post Image

Muigizaji wa filamu na Mfanyabiashara, Jacquline Wolper amefunguka na kusema iwapo mpenzi wake wa sasa (Brown) akimtenda na kumuumiza kama waliopita ataamini kuwa hakuna wa kumwamini kwenye mapenzi na kwamba wanaume wote wana matendo ya kufanana. Akizungumza na Mwandishi wa EATV, Wolper ambaye miezi michache alitangaza kuachana na aliyekuwa mpenzi wake (Msanii wa muziki) ma […]

Read More..